Imeniuma sana



muhanga ma dia, mbona sasa mr analia sana, au ndio ana pretend? akienda hosp na yale machozi aliyonimwagia jana na magoti juu hii stori nahic itabadilika....tuna huruma sana! amelia jana amelia cna maelezo, anasema atatenganishwa vp na mke mzuri kama yule, atampatia wapi tena mke kama yule, bac nitapambania ndoa yangu...alichonifanya nikatoa jicho ni aliponiambia" hata alienifanya nikamtenda mke wangu hana uzuri/kiwango cha mama naniii".....nyie bwana ndoa ngumu sana.
 
Bado cjapata but naamini Mungu atanipa yule alie mwema na ambae atanipenda na kunidhamini,ups n down kwenye mahusiano ni kawaida but ikitokea akanipiga,naamini Mungu ataweka malaika kati yetui ili akinyanyua mkono tuuuuuu,malaika ataushika mkono ule na kupingisha kidogo tuu ili yy apate yake maumivu aliyotaka kunipa mm,then mambo yatarudi sawa.
nimekusoma na nimekukubali dada ... amebarikiwa mwanaume yule aliye na pearl kama mkewe!!

MDBD
 


Pole naweza kukuelewa luv lakini haya yatapita tu.....u r a strong woman thats what I believe. Mpe saupport rafiki yako ila huyo shemeji yako achana naye kabisa hafai hata kulumangia
 
nitaendelea baadae wapendwa, narudi hosp.

mchana mwema.
 

tunasubiri ushauri wa Gorji Porjie ... Crispin ... na Fidel80 katika hili tafadhali!

MDBD
 


🙄......
 
ok bye uguza pole,na ww pole be a strong woman like Elizabeth,hakuwaza kutoa mimba ijapokuwa kwa akili ya kawaida watu wangeshangaa mimba by uwezo wa roho mtakatifu how!!!!!!!!!!
nitaendelea baadae wapendwa, narudi hosp.

mchana mwema.
 
jamani mie nilikuwa na wa hivyo miaka ileeeeeeeeeee kwanza kabisa alikuwa mwanaume ambaye anakosea badala ya mie nilie yeye ndo analia na kuniomba msamaha kwa wingi na alionyesha kama ana true love kumbe ile
Artificial ile kuona chozi lake najirudi naona napendwa sana kama Dhahabu inavyotafutwa migodini..
lakini kumbe lol alikuwa anani-enjoy aliendelea kufanya vituko vyake na kunipaka mafuta kwa mgongo wa Chupa matokeo yake niliambulia kuvikwa engagement ..kumbe lol (...........................)
Sina la kumshauri dada hapo namuombea apone na mungu ampe nguvu na ujasiri hasa ukizingatia huyo mmewe yeye ndo anamjua vizuri kuliko akina sie
 
pole mwaya,dunia ina mengi mpz,ukiskia kua uyaone si magorofa ya posta,pole mamy
 
ok bye uguza pole,na ww pole be a strong woman like Elizabeth,hakuwaza kutoa mimba ijapokuwa kwa akili ya kawaida watu wangeshangaa mimba by uwezo wa roho mtakatifu how!!!!!!!!!!

did u mean Virgin Mary??
 
....hajadhubutu kwenda hosp lakini nyumbani kwake amerudi.....

...ananiambia cjui huyo mwanamke wake amempa nini mpaka akamtendea mke wangu maovu hivyo, anasema hataweza kuishi bila mke wake...atapambania ndoa yake hata haamishiwe wapi.

...mimi mpaka sasa nashangaa kwanini hajakwenda hospitali kumuangalia mkewe


...hapo kwenye bold na underlined hapo, nakubaliana nae. Siku zote wanaume huchagua 'nyumba ndogo' walio chini ya kiwango cha wake zao.
 

umesema vizuri sana hapo!!!! tena utadhani sisi ndo wakufunzi wa shetani!!!
 
mtu kama analeta matatizo sometimes inabidi kusimama kidedea bana hata kama misuli yenyewe hata ya panzi ina afadhali

kuna mchumba mmoja alikuwa na mwingine, nilipomuacha akasubiri siku mvua inanyesha akaja kaloa chapa chapa bila mwamvuli, ati analia mlangoni kajikunyata kwa dizain ya kutia huruma, na mihasira yangu nikamrushia mwavuli niliomuzimaga na kufunga madirisha na milango,

pole Babra mpe pole na rafiki yako...
 
Si vizuri kuadvocate wanandoa kuachana, lakini si vibaya kuelewa kuwa hiyo nafasi ipo. Saa zingine watu tunafanya vitu kwa kufikiria matokeo fulani hayawezekani kutokea.
Kwa muda huo, huyo binti kwanza afocus kwenye afya yake. Hayo mengine yatachukua mkondo wake.
Siamini kuwa mkosaji hawezi kujirekebisha. Kuna mengi yanayopaswa kufanywa hapo. Tusiangalie tu tulipoangukia, huenda ni muhimu kuangalia tulipojikwaa. Iwe ni huyo kaka au dada au wote kama wanandoa.
Japo kwa kusema hivyo haimaanishi nakubaliana mtu kupigwa. La hasha, kupigwa NO! NO! Huyo ni mtu mzima mweleweshe na kama hamelewani basi ni vyema mkaachana kwa usalama, angalau kwa muda huu, kwani huenda mkarudiana baadae.
 
ndo yale yale kila siku tunahitaji mbadala wa ndoa. mfumo wa sasa wa ndoa hauna tijaaaa. au ndio msalaba wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…