Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
- Thread starter
- #321
huyu msukuma kapata wa kumkamata sehemu nyeti hadi kachanganyikiwa, mapenzi kwa mkewe yuyo yalikuwa yameshaisha zamani ila tu viapo vyetu hivi vya 'mpaka kifo kitutenganishe' ndio vinaleta taabu ingekuwa kwa wenzetu majuu wameshaachana kitambo, sie tunahofia eti wajomba, wazazi majirani watanielewaje nikimwacha mke/mume!!! yaani kulikoni kumpa kichapo hicho ni boira angeamua kiume tu kuwa tuachane aendelee na huyo hun wake maana inaelekea anahudumia hadi mahitaji yote ya ndani sasa wa nini kumgombea. Huyo dada amfungulie shtaka huyo mume, sheria ifuate mkondo wake, maana si maumivu tu aliyopata, bali amethubutu 'kuua' kiumbe ambacho ni damu yake mwenyewe, je huruma na wewe mwanamke itatoka wapi, next time huyo dada aget prepared kulala kwenye coffin for good!!! pole zake maskini
muhanga ma dia, mbona sasa mr analia sana, au ndio ana pretend? akienda hosp na yale machozi aliyonimwagia jana na magoti juu hii stori nahic itabadilika....tuna huruma sana! amelia jana amelia cna maelezo, anasema atatenganishwa vp na mke mzuri kama yule, atampatia wapi tena mke kama yule, bac nitapambania ndoa yangu...alichonifanya nikatoa jicho ni aliponiambia" hata alienifanya nikamtenda mke wangu hana uzuri/kiwango cha mama naniii".....nyie bwana ndoa ngumu sana.