Imeniuma sana

Kwa nn aguse cmu ya Mr.????
Alicho kuwa akitafuta ndo hicho siku ingine hato rudia kamwe.
Kugusa simu ya mmeo kuna kosa gani? labda kama una roho nyepesi. na alichoharibu kimoja tu, angeisoma halafu ampe mr na kumwambia msg yako hii mpenzi halafu kimya, mwisho wa story.
 
Napata hisia kwamba ndoa ilikua ya kung'ang'aniza....so girls don force your ways into marriage....let the act be mutual.
 

aaaaaaaaaah nasikia kuzimia MJ1 jamani wanaume kwa nini mnatufanyia hivi?
kwanini mnaoa kama hamko tayari kukaa na mke ?
 
ndio carmel, yaani wacha tu! jokes aside mie ndoa zimenichosha sana, nikickia mtu anaolewa nasema wacha apate hiyo heshima jamii inayoongelea lakini utamu wa ngoma humo ndani atauona mwenyewe.
Ndio hivyo, kuolewa kutamu ila stugle nazo zimo nyingi tu. kama wasemavyo wenzetu, marriage is not a bed of roses maana hata mti wa rose una miba.
 
tunamuombea kwa kweli apone kabisa. Lesson 1. Dont save your "hun" contact kwenye simu yako, lesson 2:do not browser your spouse fone lesson 3:make sure if you suspect your hun is cheating confront him/her at the police station!!


omgness....
 
G plz!!!!!!!!just count ur left daiz before u say "for beta for was till death do u pat"
nikiangalia avata yako najilaumu ni kwanin sikukuona mapema...!lolπŸ˜€
 
wanaume WENGINE bana!
GADEMU ZAO....!
 
Napata hisia kwamba ndoa ilikua ya kung'ang'aniza....so girls don force your ways into marriage....let the act be mutual.
acha hizo, hatuongelei hisia hapa. tunaongelea problem at hand.
 
tunamuombea kwa kweli apone kabisa. Lesson 1. dont save your "hun" contact kwenye simu yako, lesson 2πŸ˜€O NOT browser your spouse fone lesson 3:MAKE SURE if you suspect your hun is cheating confront him/her at the police station!!

Mmmh!!! hii kiboko
 
vp hapo kwenye red ulitembeza Kichapo nn alipo amka?

Kugusa simu ya mmeo kuna kosa gani? labda kama una roho nyepesi. na alichoharibu kimoja tu, angeisoma halafu ampe mr na kumwambia msg yako hii mpenzi halafu kimya, mwisho wa story.
Kwa nilivyosoma hii stori kwa jinsi mumewe alivyo Kichapo kilikua pale pale wanaume wengine Sooo!!
 

Na kwa akili yako unafikiri ndo ulikuwa umetatua tatizo? Kutokukuuliza!

sasa watch out chief; Hapo umemfungulia mlango wife wako na siku moja tena siku si nyingi utamkuta Mume mwenzio hapo nyumbani! Mark my words!

Unajua usemi wa kiswahili usemao Mytenda hutendewa!
na ule wa Kiingerza wa What goes arround comes arround? (Cjui nimepatia na hii fom fwo yangu!)

Sasa ndugu nakuomba; Kaaa na my wife yako Muombe msamaha!

Wala usijitie ujanja ndugu yangu wewe jishushe toka huko ghorofani uliko jijazia misifa ya uanaume na muangukie mwenzi wako kwa kosa kubwa ulilomfanyia!

Hastahili hata kidogo kufanyiwa hivyo ikiwa kweli huyo ni mkeo!

Nitakuambia kitu kimoja ambacho cc wanaume kinatuponza!

We always think whe we "PLAY" with women we are the WINNERs and the masters of the GAME! For your information we are the biggest LOOSERS na women can drive us like anything by acting dumb like in this case! She is not as dumb as you think!

Take care!

Back to the topic

Huyo jamaa anastahili kuwa jela muda huu tunaongea na kama ingekuwa amri yangu afungwe maisha asikuta nae na viumbe wengine tena milele!
 


hiyo angekuwa imemkuta babra nakuhakikishia hayo unayosema ungekuwa sawa kabisa, kwa huyu nimjuavyo hanaga papara, kwa maelezo yake alivyoona hajibiwi akajua tu ndio mambo ni mseto tayari na akasema alikuwa hana nia ya kumuuliza/cctiza coz ameshajua kinachoendelea hata angetaka ajibiwe angepewa historia tu, na nimemuuliza housegal walivyofika home ilikuwaje? akaniambia dada aliingia tu ndani kama kawaida akawa anaangalia tv ndio kaka akaja na kuanza kumpiga vibao, vibao vikazaa ngumi na kuvua mkanda kumtandika nao....mie ningelala nae polic walaah..
 
Kwa nn aguse cmu ya Mr.????
Alicho kuwa akitafuta ndo hicho siku ingine hato rudia kamwe.


yaani cjui ni nini juzi hiyo kimemuingia frnd wangu, sasa na huyu mume kama anajiamini kweli kwanini hajulikani alipo, sio job/home wala fone haipatikani, c aje bac a face tatizo?
 
tunamuombea kwa kweli apone kabisa. Lesson 1. dont save your "hun" contact kwenye simu yako, lesson 2πŸ˜€O NOT browser your spouse fone lesson 3:MAKE SURE if you suspect your hun is cheating confront him/her at the police station!!
Mh mkuu vp cku izi polisi wanakitengo cha ku investigate affairs? maana baada ya kutoka police kama Mumeo ni design ya huyu jamaa asee itabidi utafute tu pa kulala!!
 
G mm kuku wa kienyeji husingeniweza,ww umezoea wa kidhungu
acha hizo!
mimi ninaona kabisa wewe ni A WOMAN OF MY TYPE...!πŸ˜€
mtoto wa uswazi mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…