Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaje mahi usivuke na mambo ya 2024 😜
Ushakinai tayari.Sitaki tenaa
Nipe nimuulize ukute naye anaumia alipo 😹Nikupe code labda 😂
Tajiri uliibiwa simu na Utopolo wenzako kelele zikasikika mpaka Kigamboni.Ukiona mtu anasema yeye tajiri basi jua ni pangu pakavu tia mchuzi.Matajiri hawajitapi.Huyo achana nae njoo kwangu tajiri kutoka kigamboni hapa kwanza nataka kukupeleka Zanzibar habibi
Sasa bibie umesema jina lake huyo Derick siyo jina lake halisi unadhani utampata?Wapendwa heri ya nwaka mpya 2025. Binafsi ninaamini kulingana na maandiko matakatifu katika kitabu cha mwanzo kwenye ile sura inayozungumzia uumbaji siku inaanza jioni (' ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya..... '). Hivyo Mimi nimeshauona mwaka mpya 2025.
Baada ya salamu za mwaka mpya ninaomba kuwauliza wananchi wenzangu wa Tanzania kama imeshawahi kukutokea umekutana na mtu online hujawahi kuonana nae... Mkawasiliana kwa mda mrefu kiasi kwamba kila mmoja mbali na kwamba hajawahi kuonana na mwenzake lakini ameshakuwa sehemu ya mwingine? Kwamba kama ikitokea hajawasiliana na wewe unaumia? Halafu gafla huyu mtu akapotea na hujawahi wasiliana nae tena?
Katika harakati za hapa na pale katika mtandao fulani ww kijamii mbali nanJF nimekutana na huyu bwana Derick (sio jina lake). Alini text tu kuuliza kitu flani tukajikuta tunawasiliana kwa mda mrefu kiasi kwamba nilihisi kama nimeshawahi kumuona uso kwa uso.
Ghafla bwana huyu amekuwa kimya na amepotea hewani. Kwakweli nimejikuta ninaumia Ila nikajiona mjinga kwanini niumie kwa mtu ambaye sikuwahi kumuona live? Yani ile week mood yangu iliharibika kwakweli.
Sasa bwana Derick popote ulipo kama utapita hapa maana najua uko JF ninaomba ujue kwamba kutoweka kwako ghafla hakujanifurahisha (wamakonde wanasema 'hakujaninogea bwana wewee')
Ni hayo tu ndugu zangu.
😂😂😂😂😂 Daa poleee..Kwa kipindi Cha bwana Derick hayupo naomba nikupee kampani km hutojali 😅We bwana 😅😅😅
Hakutumaa
Nilibadili IDIlishawahi kunitokea kwa member mmoja humu
Sijui alikufa ama alibadili ID
Uchoyo tuuuKampani yako haiwez kuziba pengo lake
Tuliza moyoAmenitesa Sana nafanya kukimbia kuangalia kama kuna text yake.
We kaka popote ulipo jua tu we sio poa
😂Nilibadili ID
Mmmmh 😂Nipe nimuulize ukute naye anaumia alipo 😹
Unaeza kuta Huyu ni dimeHuyo achana nae njoo kwangu tajiri kutoka kigamboni hapa kwanza nataka kukupeleka Zanzibar habibi
Lete bhana mi natamani mvuke wote 2025 😹Mmmmh 😂