Imeshawahi kukutokea?

Imeshawahi kukutokea?

Yanii we kaka popote ulipo umeniachia majonzi. Kumbuka ahadi zetu ndo kweli zinayeyuka hivyo?
Pole cute,mpotezee uwape nafasi wengine...jifunze kuwapenda pia... utakuwa na furaha tena
 
Wapi derick.....mainda my dota. 😃😃😄 pole mpendwa, ila story yako imenifanya hadi nimkumbuke mzee magari enzi za kanumba.
Pole sana, navuta picha pale SMS inapoingia unadhani ni Derrick unafungua fasta 😃😃😃 unakuta *karibu kwenye gulio la simu viwanja vya mbagala ujipatie simu janja mixx by yas😄😅😅
 
Mimi imenitokea na ni mwaka huu....

Nilikutana n mtu x.... kwenye mitandao hii hii ya kijamii.... Tukafahamiana pale na nini

Tukabadilishana mpaka namba... Basi tukawa tunawasiliana hivyo!

Akienda kazini asubuhii ananipa notification ndo, natoka kama kafika, wakati ana sign out jioni hivyo hivyo....

Tumeenda wwwh...... mpaka ikafika sehemu tukawa na ahadi kadha wa kadha na kusaidiana kiushauri, kipesa n.k

Akaja akampoteza mzazi wake..... Akaenda mkoa x.... Basi kakaa kule nikimpgia hapokei nikituma text hajibu.....hapo ni wiki kama tatu..

Basi siku moja akanipigia anaomba samahani by then nikajiambia maadam simjui hainiumiz kihivyo....

Tukaenda vizuri mpaka ahadi yetu inakaribia na ni ahadi potential akaumwa bwana weeh.... Namuombea huko alipo akae sawa...

Akaja akapona vizuri tuu, hajakaa sawa mawasiliano yakakata toka November hivi au October yakarud Dec mbili kumbe alipoenda mara ya kwanza OP Dr hakuifanya vizuri....

Tukatoka hapo tukawasiliana Tena mpk near to xmas kapotea mazima ukimpgia hapokei, hayupo WhatsApp online ina last seen ya siku hiyo mpk sasa.....

Ile ahadi ya October sijui ilikuaje maake kwa anavyoumwa hata siwezi muuliza....

Ila inaumiza sometimes.....

Kwa 2024..... Japo simfahamu, hatujawah onana Ila ni miongoni mwa best person to i, na nimemwandika kwenye diary yangu potential people 2024... Ni miongoni...

Kama anaumwa Tena Mwenyezi Mungu ampe uponyaji .....

Umenikumbusha nilivyoona Nita muwish happy new year pia akija fungua WhatsApp na email atakuta jumbe zangu....

Happy new year in advance
Blood broh Ibn Unuq
SECRETARY BIRD Nifah Mwachiluwi Leejay49
 
Thank you,. Happy new year
 
Wapendwa heri ya nwaka mpya 2025. Binafsi ninaamini kulingana na maandiko matakatifu katika kitabu cha mwanzo kwenye ile sura inayozungumzia uumbaji siku inaanza jioni (' ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya..... '). Hivyo Mimi nimeshauona mwaka mpya 2025.

Baada ya salamu za mwaka mpya ninaomba kuwauliza wananchi wenzangu wa Tanzania kama imeshawahi kukutokea umekutana na mtu online hujawahi kuonana nae... Mkawasiliana kwa mda mrefu kiasi kwamba kila mmoja mbali na kwamba hajawahi kuonana na mwenzake lakini ameshakuwa sehemu ya mwingine? Kwamba kama ikitokea hajawasiliana na wewe unaumia? Halafu gafla huyu mtu akapotea na hujawahi wasiliana nae tena?
Katika harakati za hapa na pale katika mtandao fulani ww kijamii mbali nanJF nimekutana na huyu bwana Derick (sio jina lake). Alini text tu kuuliza kitu flani tukajikuta tunawasiliana kwa mda mrefu kiasi kwamba nilihisi kama nimeshawahi kumuona uso kwa uso.
Ghafla bwana huyu amekuwa kimya na amepotea hewani. Kwakweli nimejikuta ninaumia Ila nikajiona mjinga kwanini niumie kwa mtu ambaye sikuwahi kumuona live? Yani ile week mood yangu iliharibika kwakweli.
Sasa bwana Derick popote ulipo kama utapita hapa maana najua uko JF ninaomba ujue kwamba kutoweka kwako ghafla hakujanifurahisha (wamakonde wanasema 'hakujaninogea bwana wewee')
Ni hayo tu ndugu zangu.
Niko hapa usijali
 
Aisee 😃😃😃
Moja ya sehemu nzuri kupata mtu au rafiki atakaye kuwa zaidi ya ndugu wa damu ni JamiiForums, huwa Nina furahia sana uwepo na karibu wa kimawasiliano na Member mmoja wa humu Jamiiforums.

Huwa tunawasiliana na tunazungumza mengi kuhusu maisha na mambo mengine ya kila siku. Huwa na furahia sana ninapoona call yake au ujumbe wake.

Hata ninapokuwa ninapitia kwenye situation tata basi huwa nikimueleza tu Ushauri na majibu yake huwa yanifanya nijisikie vizuri sana hata kama ninaumwa na ugonjwa unaosumbua hasa ni kichwa tu mafua tu. Yaani hata akiniambia pole huwa najihisi kupona kabisa 🤩🤩🤩

Moment nzuri ni pale aliponiambia nimuamshe saa 11 na dk 10 alfajiri aisee nilipompigia simu kama sekunde kadhaa ndio akapokea Nilijisikia poa Sanaa.

Nimeweka kiasi sio mazoea yaliyopitiliza maana huenda siku tukapotezana au kila mmoja akawa na maisha yake mengine.
 
Mimi imenitokea na ni mwaka huu....

Nilikutana n mtu x.... kwenye mitandao hii hii ya kijamii.... Tukafahamiana pale na nini

Tukabadilishana mpaka namba... Basi tukawa tunawasiliana hivyo!

Akienda kazini asubuhii ananipa notification ndo, natoka kama kafika, wakati ana sign out jioni hivyo hivyo....

Tumeenda wwwh...... mpaka ikafika sehemu tukawa na ahadi kadha wa kadha na kusaidiana kiushauri, kipesa n.k

Akaja akampoteza mzazi wake..... Akaenda mkoa x.... Basi kakaa kule nikimpgia hapokei nikituma text hajibu.....hapo ni wiki kama tatu..

Basi siku moja akanipigia anaomba samahani by then nikajiambia maadam simjui hainiumiz kihivyo....

Tukaenda vizuri mpaka ahadi yetu inakaribia na ni ahadi potential akaumwa bwana weeh.... Namuombea huko alipo akae sawa...

Akaja akapona vizuri tuu, hajakaa sawa mawasiliano yakakata toka November hivi au October yakarud Dec mbili kumbe alipoenda mara ya kwanza OP Dr hakuifanya vizuri....

Tukatoka hapo tukawasiliana Tena mpk near to xmas kapotea mazima ukimpgia hapokei, hayupo WhatsApp online ina last seen ya siku hiyo mpk sasa.....

Ile ahadi ya October sijui ilikuaje maake kwa anavyoumwa hata siwezi muuliza....

Ila inaumiza sometimes.....

Kwa 2024..... Japo simfahamu, hatujawah onana Ila ni miongoni mwa best person to i, na nimemwandika kwenye diary yangu potential people 2024... Ni miongoni...

Kama anaumwa Tena Mwenyezi Mungu ampe uponyaji .....

Umenikumbusha nilivyoona Nita muwish happy new year pia akija fungua WhatsApp na email atakuta jumbe zangu....

Happy new year in advance
Blood broh Ibn Unuq
SECRETARY BIRD Nifah Mwachiluwi Leejay49
Thank na kwako pia
 
Pole sana, namuombea mwenzio iwe ni maradhi tu apone na akutafute tena mtimize ahadi yetu.

Heri ya mwaka mpya tukijaaliwa, Asante.
 
Back
Top Bottom