Mimi imenitokea na ni mwaka huu....
Nilikutana n mtu x.... kwenye mitandao hii hii ya kijamii.... Tukafahamiana pale na nini
Tukabadilishana mpaka namba... Basi tukawa tunawasiliana hivyo!
Akienda kazini asubuhii ananipa notification ndo, natoka kama kafika, wakati ana sign out jioni hivyo hivyo....
Tumeenda wwwh...... mpaka ikafika sehemu tukawa na ahadi kadha wa kadha na kusaidiana kiushauri, kipesa n.k
Akaja akampoteza mzazi wake..... Akaenda mkoa x.... Basi kakaa kule nikimpgia hapokei nikituma text hajibu.....hapo ni wiki kama tatu..
Basi siku moja akanipigia anaomba samahani by then nikajiambia maadam simjui hainiumiz kihivyo....
Tukaenda vizuri mpaka ahadi yetu inakaribia na ni ahadi potential akaumwa bwana weeh.... Namuombea huko alipo akae sawa...
Akaja akapona vizuri tuu, hajakaa sawa mawasiliano yakakata toka November hivi au October yakarud Dec mbili kumbe alipoenda mara ya kwanza OP Dr hakuifanya vizuri....
Tukatoka hapo tukawasiliana Tena mpk near to xmas kapotea mazima ukimpgia hapokei, hayupo WhatsApp online ina last seen ya siku hiyo mpk sasa.....
Ile ahadi ya October sijui ilikuaje maake kwa anavyoumwa hata siwezi muuliza....
Ila inaumiza sometimes.....
Kwa 2024..... Japo simfahamu, hatujawah onana Ila ni miongoni mwa best person to i, na nimemwandika kwenye diary yangu potential people 2024... Ni miongoni...
Kama anaumwa Tena Mwenyezi Mungu ampe uponyaji .....
Umenikumbusha nilivyoona Nita muwish happy new year pia akija fungua WhatsApp na email atakuta jumbe zangu....
Happy new year in advance
Blood broh
Ibn Unuq
SECRETARY BIRD Nifah Mwachiluwi Leejay49