Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
Ulijua umepata buzi et
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milioni Moja na laki 8 Tajiriii ....Wapendwa heri ya nwaka mpya 2025. Binafsi ninaamini kulingana na maandiko matakatifu katika kitabu cha mwanzo kwenye ile sura inayozungumzia uumbaji siku inaanza jioni (' ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya..... '). Hivyo Mimi nimeshauona mwaka mpya 2025.
Baada ya salamu za mwaka mpya ninaomba kuwauliza wananchi wenzangu wa Tanzania kama imeshawahi kukutokea umekutana na mtu online hujawahi kuonana nae... Mkawasiliana kwa mda mrefu kiasi kwamba kila mmoja mbali na kwamba hajawahi kuonana na mwenzake lakini ameshakuwa sehemu ya mwingine? Kwamba kama ikitokea hajawasiliana na wewe unaumia? Halafu gafla huyu mtu akapotea na hujawahi wasiliana nae tena?
Katika harakati za hapa na pale katika mtandao fulani ww kijamii mbali nanJF nimekutana na huyu bwana Derick (sio jina lake). Alini text tu kuuliza kitu flani tukajikuta tunawasiliana kwa mda mrefu kiasi kwamba nilihisi kama nimeshawahi kumuona uso kwa uso.
Ghafla bwana huyu amekuwa kimya na amepotea hewani. Kwakweli nimejikuta ninaumia Ila nikajiona mjinga kwanini niumie kwa mtu ambaye sikuwahi kumuona live? Yani ile week mood yangu iliharibika kwakweli.
Sasa bwana Derick popote ulipo kama utapita hapa maana najua uko JF ninaomba ujue kwamba kutoweka kwako ghafla hakujanifurahisha (wamakonde wanasema 'hakujaninogea bwana wewee')
Ni hayo tu ndugu zangu.
Kuna kifo, jela, kuhama nchi ghafla, kuwehuka ghafla. Kutubu na kuamua kuishi maisha ya peke yake..Amenitesa Sana nafanya kukimbia kuangalia kama kuna text yake.
We kaka popote ulipo jua tu we sio poa
naja PM tupoozane🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️Ooh kumbe
KumekuchaNipatie address yako boss
Mwanzo1;26Ilishawahi nikuta hii,ikawa uthibitisho kuwa unaopenda mtu ni moyo...yaan mioyo inapendana siyo mwili
HahahaWapendwa heri ya nwaka mpya 2025. Binafsi ninaamini kulingana na maandiko matakatifu katika kitabu cha mwanzo kwenye ile sura inayozungumzia uumbaji siku inaanza jioni (' ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya..... '). Hivyo Mimi nimeshauona mwaka mpya 2025.