Mfwalamanyambi
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 433
- 102
Mkuu mbona ueleweki kwa hiyo Babu wa Loliondo ni Chadema...unapinga kuwa sio tapeli?
Mungu wa MCHUNGAJI kitanzini!
Mkuu Babu wa Loliondo ni Tapeli hakuna mtu aliyepona.
Mkuu katika watu ambao sikuwakubali ni hichi kikongwe cha ccm babu wa loliondo nilikuwa mgumu kweli kumkubaliBabu yake PakaJimmy, kwi! Kwi! Kwi!...teh teh teh...ha haa haaa...