Imethibitishwa na Serikali... Babu wa Loliondo ni Tapeli

Imethibitishwa na Serikali... Babu wa Loliondo ni Tapeli

Sasa kama ni hivyo mbona babu bado yupo tu kijijini kwake akila mema ya nchi.

Achukuliwe hatua za kisheria
 
unafikir kipnd kle nan angefnya huo upelelez wakat na serkali yenywe ilihamia loliondo, viongoz wa ngaz za juu wengi walikimbilia kokombe vha babu loliondo,,,
 
Huyo ndiye Ambilikile Mwasapile" a.k.a Mwakapesa.Kawapiga hadi wakuu wa nchi.
 
Back
Top Bottom