Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,636 Reaction score 6,178 Sep 29, 2014 #101 Sasa kama ni hivyo mbona babu bado yupo tu kijijini kwake akila mema ya nchi. Achukuliwe hatua za kisheria
Sasa kama ni hivyo mbona babu bado yupo tu kijijini kwake akila mema ya nchi. Achukuliwe hatua za kisheria
djesco Senior Member Joined Jun 26, 2013 Posts 166 Reaction score 52 Oct 6, 2014 #102 Ze Heby said: Sasa kama ni hivyo mbona babu bado yupo tu kijijini kwake akila mema ya nchi. Achukuliwe hatua za kisheria Click to expand... mwache afaidi maana walimpa promo kimbwa
Ze Heby said: Sasa kama ni hivyo mbona babu bado yupo tu kijijini kwake akila mema ya nchi. Achukuliwe hatua za kisheria Click to expand... mwache afaidi maana walimpa promo kimbwa
K kidy90 Member Joined Apr 29, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Oct 19, 2014 #103 unafikir kipnd kle nan angefnya huo upelelez wakat na serkali yenywe ilihamia loliondo, viongoz wa ngaz za juu wengi walikimbilia kokombe vha babu loliondo,,,
unafikir kipnd kle nan angefnya huo upelelez wakat na serkali yenywe ilihamia loliondo, viongoz wa ngaz za juu wengi walikimbilia kokombe vha babu loliondo,,,
Mposonge Member Joined Oct 6, 2014 Posts 84 Reaction score 19 Oct 20, 2014 #104 Huyo ndiye Ambilikile Mwasapile" a.k.a Mwakapesa.Kawapiga hadi wakuu wa nchi.