Elections 2015 Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda


Safari hii matokeo yatatengenezwa kwanza na hayo ndio atakayopewa ayasome na baada ya hapo, thamani yake kwao ndio itakua imeisha. Busara kwake ilikua ajiuzulu tu.
 
Hawa watu wajinga sana na wanataka kuitia nchi kwenye vurugu. Ole wao uchaguzi wao huo mpya watangaze imeshinda CCM!
 
Pasco anajua kabisa kwamba siku zote Rais huwa ni yule anayetangazwa ila sio anaeshinda kwenye kura au kuchaguliwa na wananchi kwa mujibu wa katiba.

Huu uzi ameuleta kuibua mjadala tu kwa kile kinachoendelea sasa hivi.
 




Link ZanziNews : Mazishi ya Marehemu Asha Bakari Makame katika Kijiji cha Kianga Zanzibar

Wabaka demokrasia hawana wasiwasi, wanaona jeneza la "Nchi haitolewi kwa vikaratasi". Hawa watu wamepata ujumbe wa moja kwa moja kutoka kwa Mungu. Kiburi ni kitu mbaya sana. Baada ya kupokea ujumbe tu utokao kwa Mungu ambaye hapendi wanafiki,wameamua kutangaza igizo la "uchaguzi".
Mungu hachezewi kwa mikono.
 
EBU SAIDIA KUZITAJA HIZO RAFU...INAKUWAJE RAFU ZIWEPO TU KWENYE URAIS WAKATI KURA HIZO HIZO ZIMETUMIKA KUWAPATA WAWAKILISHI NA WABUNGE?
 
Sasa mkuu swali langu ni kwanini cuf au anyone hawajaenda mahakamani???
Hili ni swali zuri sana, labda ungefafanua waende mahakamani kwa shtaka lipi?
Kumbuka uchaguzi ulikuwa hajamalizika na matokeo yalikuwa bado yanaendelea kujumlishwa
Hapa pia nasisitiza, kujumlisha maana yalishatoka majimbo na walioshindwa wakasaini
Zaidi ya hapo, hakuna lalamiko lolote la chama chochote kule majimboni hadi siku 2 uchaguzi ulipofutwa

Nisaidie waende mahakamani wakidai nini?
 
Pasco again...

Katika ubora wako....

Wewe ni zaidi ya Kinyonga aisee...
 
Nadhani(kwa mtazamo wangu) hili ndilo bandiko bora so far katika thread hii...

Umeongea vitu ambavyo mtu mwenye mahaba ya vyama hawezi kuvielewa...Hiki ulichokiandika ndio kinachopaswa kufanyika...

Kudos Chifu...
 



Pasco, CCM HAWANAMPANGO WAKUTAFUTA KURA. HAYO UNAYOYASEMA WANAYAJUA. WANACHOKITAKA NI MATUMIZI YA NGUVU YA DOLA KAMA WALIVYOFANYA BARA.

USISAHAU KWAMBA CCM SI BINADAMU.
 
Mtu akisoma haraka haraka anaweza akadhani kuna hoja za msingi hapa. Atakuwa amenoa. Huwezi kufanya kitu kile kile kwa mbinu zile zile ukategemea matokeo tofauti. Hivi mnadhani hiyo mikakati wanayo CUF peke yao? Hao wanaong'ang'ania uchaguzi urudiwe mnajua wamejipangaje baada ya kushtukizwa na ngumi ya sikio? CUF ana nafasi kubwa kupoteza uchaguzi wa marudio kuliko ule wa Novemba. Safari hii sitashanga kama kura zitazidi idadi ya waliojiandikisha na kupiga. Hao ndo CCM halisi, wanacheza karata tatu-'Head, I win. Tail you loose'. So it is a must-win election for CCM.
 
Kwa kweli CUF wasijidanganye kurudia uchaguzi, CCM wanatangaza matokeo kabla ya uchaguzi wapiganie haki yao kwa njia nyingine tu. Hasa vita ya kidiplomasia lkn ikibidi hata kumwaga damu kushindana na uovu huu ni vita kubwa. CCM wajue wataleta umwagaji damu isiyo na hatia, na bara ndiyo chanzo.
Na hao mashabiki wao MUNGU awalaani na kuwapa mapigo nyie na familia zenu.
 
haihitajibi limbu kusema seif alishinda. ushindi wa seif hata panya waliopo kwenye mashimo wanaujua. wananchotakiwa zec/ccm ni kuheshimu maamuzi ya wananchi. basi.
 
Kwa hiyo Limbu ni uthibitisho usio na shaka? Segerea madiwani wengi ni UKAWA lakini mbunge CCM. Tanga madiwani UKAWA lakini meya CCM. Halafu mnatumia logic hiyo? Uthibitisho USIO SHAKA utatolewa na TUME YA UCHAGUZI PEKEE. Wengine wote ni guess work.
 
Kwa hiyo Limbu ni uthibitisho usio na shaka? Segerea madiwani wengi ni UKAWA lakini mbunge CCM. Tanga madiwani UKAWA lakini meya CCM. Halafu mnatumia logic hiyo? Uthibitisho USIO SHAKA utatolewa na TUME YA UCHAGUZI PEKEE. Wengine wote ni guess work.


Huko Tanga na Segerea unakokusema bila shaka unjua ugaidi uliotumika. Wanaenda kutumia kila aina ya silaha especially DOLA .
 
SASA NINI KINAWASUKUMA SAFARI HII KUTAKA UCHAGUZI URUDIWE KAMA WALIWEZA KUKATAA 2000? MBONA WANAKUWA WASAHULIFU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…