Imetimia miaka 5 sasa tangu OSTADH Kishki aombe dua ya kutaka Mungu amuue Afande SELE

Imetimia miaka 5 sasa tangu OSTADH Kishki aombe dua ya kutaka Mungu amuue Afande SELE

Shekhe anapaka wanja cjui piko kwenye kope
Alafu hy si yule mpiga hela za misaada toka uarabuni kwaajli ya ndoa, amuombe allah amuue Ostadh Juma ili asikomalie pasu toka ugenini
 
Imetimia miaka Mitano sasa tangu OSTADH Kishki aombe dua ya kutaka Mungu amuue Afande SELE

Nafikiri makosa hapo ilikuwa ni kufanya hayo maombi yake hadharani
Mungu anapenda mtu aombe kimya kimya ili hata ukapata majibu ya ulicho omba utukufu ubaki kwake.
Mtu akiomba hadharani halafu alicho omba kikatokea, sehemu kubwa ya utukufu inaelekezwa kwa aliyeomba badala ya Mungu aliyetenda...
 
Imetimia miaka Mitano sasa tangu OSTADH Kishki aombe dua ya kutaka Mungu amuue Afande SELE

Hata yule ustadhi Sheikh aliyekuwa Dar Mussa Alhad alisema Mwisho wa Mange kusema ni Dec 2018 ,inakaribia Miaka 8 tangu atoe hiyo kauli na Da Mange bado yupo "lelelele".

Hawa Masheikh na Manabii ni Wasanii tu ,wajanjawajanja na Matapeli hawana chochote.
 
Walituma hadi katoto klkobazi akilinzao zakushikiwa.

Inasikitisha sana,hapo ndio ujue dini ni utapeli.
 
Back
Top Bottom