Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
Nafikiri makosa hapo ilikuwa ni kufanya hayo maombi yake hadharaniImetimia miaka Mitano sasa tangu OSTADH Kishki aombe dua ya kutaka Mungu amuue Afande SELE
Hata yule ustadhi Sheikh aliyekuwa Dar Mussa Alhad alisema Mwisho wa Mange kusema ni Dec 2018 ,inakaribia Miaka 8 tangu atoe hiyo kauli na Da Mange bado yupo "lelelele".Imetimia miaka Mitano sasa tangu OSTADH Kishki aombe dua ya kutaka Mungu amuue Afande SELE
Dua ni uongo mtupu Kuna jamaa aliiba open shoes kwa shem mzaa walimuombea alubadili lakini jamaa mpaka Leo ni mzima na amenunua tataImetimia miaka Mitano sasa tangu OSTADH Kishki aombe dua ya kutaka Mungu amuue Afande SELE
Amtupie hata hela tu kama hamiliki majini!Ameshindwa hata kumtupia majini?
Kutoka kuwa mwizi wa open shoes hadi mmiliki wa TATA!Katisha sana.Dua ni uongo mtupu Kuna jamaa aliiba open shoes kwa shem mzaa walimuombea alubadili lakini jamaa mpaka Leo ni mzima na amenunua tata
Niliwahi kujibiwa hiyo kupaka wanja ni Sunah loose Nut panua wigo mpanaShekhe anapaka wanja cjui piko kwenye kope
Alafu hy si yule mpiga hela za misaada toka uarabuni kwaajli ya ndoa, amuombe allah amuue Ostadh Juma ili asikomalie pasu toka ugenini
Kama Mwijaku kutoka wizi wa simu kiswaswadu hadi kumiliki maghorofa mawili.Kutoka kuwa mwizi wa open shoes hadi mmiliki wa TATA!Katisha sana.
Huyu kishki kuna mwamba alimbana sana kule tiktok akianika madudu yake ya upogaji. Dua yake haiwezi sikilizwa. Mungubsyo braza wake kishski ndiyo maana dua imekuwa hewaImetimia miaka Mitano sasa tangu OSTADH Kishki aombe dua ya kutaka Mungu amuue Afande SELE
Maweee hz sunah hz.Niliwahi kujibiwa hiyo kupaka wanja ni Sunah loose Nut panua wigo mpana