Imetimia

Mwaliko wa namna hii kweli Kuna atakayehudhuria?
 
jiandae kujiajiri.....kama una mawazo ya kukaa kwenye kiti cha kuzunguka na mshahara wa 5 m futaaaaaaaaaaaaaaaa kabisa
ufugaji wa kuku,kilimo vinalipa,....
 
Wakuu hamjambo za siku nyingiiiii napenda kuwatarifu kuwa nawakaribisha katika hafla fupi ya mahafali yangu karibun sanaa itafanyik tar 27


kwa utoaji huu wa taarifa bado hujahitimu hivyo sogeza mahafali yako mbele kwanza hadi utakapokua umeshahitimu vizuri
 
Hii ndo tabu ya wasomi wetu hata kupambana na changamoto za mikono yake zinamshinda ,aaaaya!hongera kwa kumaliza lundo la madarasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…