Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masanjuo jamani,dah wewe mzuriiiii!Nimeitim nurse jmn ndo naitim diploma ya nursing
Wapi hiyo mahafariWakuu hamjambo za siku nyingiiiii napenda kuwatarifu kuwa nawakaribisha katika hafla fupi ya mahafali yangu karibun sanaa itafanyik tar 27
Wakuu hamjambo za siku nyingiiiii napenda kuwatarifu kuwa nawakaribisha katika hafla fupi ya mahafali yangu karibun sanaa itafanyik tar 27
HajakushauriAsante kwa ushaur