Kiziwanda chema
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 288
- 478
Anatafuta kick, Wamekusikia wanakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana. ila jitahidi kuandika maneno unamalizia kabisa kabisa usiwe unafupisha maneno bila sababu za msingi unapoteza mvuto wa mada yakoNimeitim nurse jmn ndo naitim diploma ya nursing
Nimekumbuka mbali, hilo jinaaSakayo kulikon
haya maeChaaaa zakumwaga njoooo mae
ndo elimu yetu ya bongo, ya ki magumashi kweli kweliMkuu umehitimu lakini bado uandishi fasaha unakupa shida.
Nini hiki "maafali" "kalibuni"
Hongera lakini.
Iyo avatar sasa!Nakukalibish kibaha baadae mbez luxul for more enjoyment yo wlc
Sasa bila kuelekeza hiyo mahafali inafanyika wapi sijui unataka tuote?, wengine uwezo huo hatuna, weka location kama una nia ya dhati ya kutukaribishaWakuu hamjambo za siku nyingiiiii napenda kuwatarifu kuwa nawakaribisha katika hafla fupi ya mahafali yangu karibun sanaa itafanyik tar 27