Imetokea mara tatu

Imetokea mara tatu

Hiyo ni hali ya kawaida kwa learners katika haya maswala au kama una muda mrefu umefanya haya masuala.Yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na msongo wa mawazo(performance anxiety).Vilevile usikamie saaaana,nenda mdogomdogo tu! ukitilia maanani kwamba ipo wala haiwezi kupotea.Jijenge kisaikolojia zaidi.Ikikushinda mwenyewe nenda kwa psychologist atakusaidia.Hilo tatizo ni la kisaikolojia zaidi kuliko medical
 
Tatizo ni kukamia...

Mwambie afikiri ku-do ni kitu cha mwisho katika mapenzi..Kuna vitu vingi kabla ya hapo.. Kama mawazo yako yanafikiri ku-do peke yake ndiyo umemridhisha mwanamke basi umeshapotea na mara nyingi madhara yake ni kushindwa siku ya siku..
 
Back
Top Bottom