donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Inaonekana kama ni story ya kufikirika na ni ngumu kuamini lakini imetokea huko Pittsburg,Fayette County Illinois. Travis kijana mwenye umri wa miaka 25 alikua ameketi na mpenz wake Nicole kwnye stairs za nyumba yake mishale ya saa nane za usiku wakipeana maneno mawili matatu ya kimahaba huku wakiongelea swala la kufunga ndoa. Wakiwa wamezama kwenye lindi la mapenzi,ghafla simu ya Travis ikaanza kuita. Kuangalia mpigaji akakuta ni mama yake Nicole akajua probably mama anataka kujua kama yupo na binti yake. Akasogea pemben kidogo nakupokea,ndipo mama kwa sauti ya kilio akamwambia kwamba Nicole amefariki dunia. Travis alipata mshtuko akiangalia kwamba mtu ambaye ameambiwa amefariki ndo yupo nae. Sasa mwanajamii msala ndo kama huo umekutokea wewe sijui utachkua uamuz gan wa haraka