Imetokea pittsburg

Imetokea pittsburg

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Inaonekana kama ni story ya kufikirika na ni ngumu kuamini lakini imetokea huko Pittsburg,Fayette County Illinois. Travis kijana mwenye umri wa miaka 25 alikua ameketi na mpenz wake Nicole kwnye stairs za nyumba yake mishale ya saa nane za usiku wakipeana maneno mawili matatu ya kimahaba huku wakiongelea swala la kufunga ndoa. Wakiwa wamezama kwenye lindi la mapenzi,ghafla simu ya Travis ikaanza kuita. Kuangalia mpigaji akakuta ni mama yake Nicole akajua probably mama anataka kujua kama yupo na binti yake. Akasogea pemben kidogo nakupokea,ndipo mama kwa sauti ya kilio akamwambia kwamba Nicole amefariki dunia. Travis alipata mshtuko akiangalia kwamba mtu ambaye ameambiwa amefariki ndo yupo nae. Sasa mwanajamii msala ndo kama huo umekutokea wewe sijui utachkua uamuz gan wa haraka
 
Malizia stori. Huyo Nicole aliyekuwa amekaa naye alikuwa siye? Na ilikuwaje baada ya hapo?
 
Nikiwamalizia ntaharibu uhondo,kilichotokea hamuwezi amini. Hebu sema kwanza ungefanya nini af nitawamalizia iliishaje
 
aaaaah! Mambo gani haya? We tupe mkasa mzima, halafu tutatoa maoni yetu
 
Nikiwamalizia ntaharibu uhondo,kilichotokea hamuwezi amini. Hebu sema kwanza ungefanya nini af nitawamalizia iliishaje
Umeambiwa kijiwe cha majaribu na mafumbo hichi?Kama unataka kuhadithia kitu hadithia mpaka mwisho..maswala ya ungefanyaje ungefanyaje yanaboa!
 
Kilichotokea ndugu zangu next ndio kinachonifanya adi mimi hapa nishindwe kuelewa. Sina hakika sana na mambo ya spiritual realm lakini huenda ndo ikawa ni mambo hayo. Yule travis baada ya kushtuka huku moyo ukimdunda,alirudi kwa Nicole and this is what she told him,"Travis I Came to say goodbye 'coz i thought it would not be good to leave without saying goodbye.where am going,there is no turning back. I love u always". Kama ingekua ni msukuma probably angesema,"mayo nene nacha" kwasababu kilichofatia kwa bwana Travis ali black out(poteza faham) na alivyozinduka alijikuta yupo hospitali. He thot he were dreaming lakn kumbe ilikua ni kweli Nicole hawakua nae tena duniani. Can it be a mere dream au ni phsychopath jamaa? Mie siamin katika mizimu ati,ni movies only!
 
Nikiwamalizia ntaharibu uhondo,kilichotokea hamuwezi amini. Hebu sema kwanza ungefanya nini af nitawamalizia iliishaje

acha mambo ya ajabu wewe. Sasa unafikiri kuna mtu atakaeweza kuchangia mada ambayo ipo nusunusu.
 
I believe in life after death.

Such things happen. Mi nashasikia a scenario similar to your iloa yenyewe ilikua ni ndoto sio a physical person.
 
Mhhh, huyu alikuwa ni Kulwa na Dotto....

 
Last edited by a moderator:
sijaelewa hata,tatizo umeikatakata kama hadith njoo utam koleaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom