Imetosha, hakuna haja ya silaha mpya maana za sasa tu zikitumika dunia itafubaa

Imetosha, hakuna haja ya silaha mpya maana za sasa tu zikitumika dunia itafubaa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Hapa nazungumzia weapons of mass destruction

Kwa sasa silaha zilizopo zinatishia hali ya usalama wa dunia nzima endapo zikitumika hasa na watu wenye nia ovu.

Silaha zikiendelea kuzinduliwa nahisi siku ikitokea hata ugomvi wa russia na china basi bara lote la asia linaweza kumeguka
 
Hata hii silaa ya covid19 ni hatari uzuri watanzania tumeishinda chini ya jemidari Magufuli.
hii kitu imeleta lockdown na watu wameichoka ndio maana wamarekani hata weupe wamejiunga kwenye maandamank wapate walau jua nje
 
Asee hakitakuwapo kitu wababe wakiamua kuumaliza ulimwengu kwa silaha hizi. Wote tutakwenda. Pengine bomu halitarushwa dar but mionzi yake itatembea baharini na hewani ikikimbilia kutumaliza Africa. Hebu nambie unaambiwa ni kombora moja tu La kirusi kwa jina SARMAT linawezo wa kuifanya ufaransa ardhi flat na mabondemabonde. Lakini pia Minuteman 3 la kimarekani bila kusahau dongfeng, na Jericho la kiyahudi.
Kwa MAD dunia mzima itaangamia
 
Back
Top Bottom