Asee hakitakuwapo kitu wababe wakiamua kuumaliza ulimwengu kwa silaha hizi. Wote tutakwenda. Pengine bomu halitarushwa dar but mionzi yake itatembea baharini na hewani ikikimbilia kutumaliza Africa. Hebu nambie unaambiwa ni kombora moja tu La kirusi kwa jina SARMAT linawezo wa kuifanya ufaransa ardhi flat na mabondemabonde. Lakini pia Minuteman 3 la kimarekani bila kusahau dongfeng, na Jericho la kiyahudi.
Kwa MAD dunia mzima itaangamia