ni vile tu ruto ashawahi kufika the Hague sababu ya upimbi kama huu , maana polis wanaangalia tu ingetoka order shoot to kill death toll ingekua ni viwango vya gazaKenya Wana Jeshi la polisi mdebwedo SIJAWAHI kuona
Uwezo wa kuwaangusha wanasiasa wetu tunao, sema tu uoga mwingi ndio huwa unatuchelewesha kupindua meza.Sisi tuendelee kuwadekeza wanasiasa wetu watuburuze kama kawaida, Mama mitano tena.
huko si ni kupoteza directions na kua confused wenyewe kwamba sasa hamjui hata mnataka nini 🐒The protests are about unemployment and unbearable cost of living in view of gross corruption, wastage and mismanagement of public resources.
Wakenya wapo serious kumbana Ruto, kitaeleweka tu.
Mapambano holela yasiyo na nidhamu,vipi wale majambazi wanaopiga noti kiholelatuliza mihemko kidogo bas,
kwahiyo unafurahia mapambano ya kiholela sio? ambayo hayana nidhamu, kwamba mtamshinda mtu smart, mtulivu anae wasoma jinsi mnavyo kuja bila mpangilio 🤣
si atawadhibiti tu kama anavyodhibiti majambazi na waporaji wengine 🐒
They stand for nation by rooting and destroying shops and business? Rutto did what you wantend and is ready for dialogue any where and any time…..Ukiwa hujielewi ndo utaweza kuwasilisha haya.
Unapata wapi nguvu ya kuandika haya,IQ mdogo Sana.
Wale wanajielewa,sio nyie mapompoma,ya ndio mzee.
Gen Z Nchi nzima hakuna Cha ukabila Wala nn,they stand for Nation.
Uhuni wa wanasiasa,inabidi waanze kujitafajari Sasa.
Yaliyotokea Misri na wale wengine ndo hayo.
Ushawahi kusikia ujinga ujinga ukiendelea.
Mawazo finyu,mbali nayo nyie maiti zinazotembea.
Kenya wamestep forward.
Mwanasiasa,ndo anaamua uishi vp akishaingia madarakani,unasahau kuwa wewe ndo umempigia kura.Ambapo inatakiwa akusikilize wewe.
Shame on you guy.
Rwanda hakuna anayekohoa,Uganda mkono wa chumba,Tz Mazombie.Kenya hakuna kuburuzwa.
Kwa hiyo kuvunja maduka na kuchoma bunge ndio suluhu?Mapambano holela yasiyo na nidhamu,vipi wale majambazi wanaopiga noti kiholela
Jitathmini kama akili zako zinatosha
Hizo ni outcomes zisikutisheKwa hiyo kuvunja maduka na kuchoma bunge ndio suluhu?
Hapa kwani wamekufa? Hawa wakitaka jambo lao kifo si changamoto kwao, kifo tunakiogopa sisi, Kwa ref ya 2007 kipindi cha Kibaki katangazwa mshindi vifo vilikuwa approx 2000 kama si 1500 kama sikosei.huko si ni kupoteza directions na kua confused wenyewe kwamba sasa hamjui hata mnataka nini 🐒
kwahivyo finance bill na mambo ya ushuru ilikua danganya toto right?🐒
I'm praying for you to stop dying because of politics 🐒
kwanini vilitokea vifo vyote hivyo na vilitokea zaidi upande gani wa Kenya?🐒Hapa kwani wamekufa? Hawa wakitaka jambo lao kifo si changamoto kwao, kifo tunakiogopa sisi, Kwa ref ya 2007 kipindi cha Kibaki katangazwa mshindi vifo vilikuwa approx 2000 kama si 1500 kama sikosei.
SI ndio juzi wameenda Haiti asakal 200 itakuwa wamebaki wachacheKenya Wana Jeshi la polisi mdebwedo SIJAWAHI kuona