Imetosha sasa, ni wakati muafaka Rais Ruto kuchukua hatua za makusudi za kimamlaka kuwadhubiti wahalifu nyuma ya Gen z na kurejesha amani

Imetosha sasa, ni wakati muafaka Rais Ruto kuchukua hatua za makusudi za kimamlaka kuwadhubiti wahalifu nyuma ya Gen z na kurejesha amani

Kenya Wana Jeshi la polisi mdebwedo SIJAWAHI kuona
ni vile tu ruto ashawahi kufika the Hague sababu ya upimbi kama huu , maana polis wanaangalia tu ingetoka order shoot to kill death toll ingekua ni viwango vya gaza
 
Sisi tuendelee kuwadekeza wanasiasa wetu watuburuze kama kawaida, Mama mitano tena.
Uwezo wa kuwaangusha wanasiasa wetu tunao, sema tu uoga mwingi ndio huwa unatuchelewesha kupindua meza.
 
Attachments

  • 1719983365040.jpg
    1719983365040.jpg
    277.8 KB · Views: 1
The protests are about unemployment and unbearable cost of living in view of gross corruption, wastage and mismanagement of public resources.

Wakenya wapo serious kumbana Ruto, kitaeleweka tu.
huko si ni kupoteza directions na kua confused wenyewe kwamba sasa hamjui hata mnataka nini 🐒

kwahivyo finance bill na mambo ya ushuru ilikua danganya toto right?🐒

I'm praying for you to stop dying because of politics 🐒
 
tuliza mihemko kidogo bas,

kwahiyo unafurahia mapambano ya kiholela sio? ambayo hayana nidhamu, kwamba mtamshinda mtu smart, mtulivu anae wasoma jinsi mnavyo kuja bila mpangilio 🤣

si atawadhibiti tu kama anavyodhibiti majambazi na waporaji wengine 🐒
Mapambano holela yasiyo na nidhamu,vipi wale majambazi wanaopiga noti kiholela

Jitathmini kama akili zako zinatosha
 
Ukiwa hujielewi ndo utaweza kuwasilisha haya.
Unapata wapi nguvu ya kuandika haya,IQ mdogo Sana.
Wale wanajielewa,sio nyie mapompoma,ya ndio mzee.

Gen Z Nchi nzima hakuna Cha ukabila Wala nn,they stand for Nation.

Uhuni wa wanasiasa,inabidi waanze kujitafajari Sasa.
Yaliyotokea Misri na wale wengine ndo hayo.
Ushawahi kusikia ujinga ujinga ukiendelea.
Mawazo finyu,mbali nayo nyie maiti zinazotembea.
Kenya wamestep forward.
Mwanasiasa,ndo anaamua uishi vp akishaingia madarakani,unasahau kuwa wewe ndo umempigia kura.Ambapo inatakiwa akusikilize wewe.
Shame on you guy.

Rwanda hakuna anayekohoa,Uganda mkono wa chumba,Tz Mazombie.Kenya hakuna kuburuzwa.
They stand for nation by rooting and destroying shops and business? Rutto did what you wantend and is ready for dialogue any where and any time…..

Every one can see you have another agenda not financial bill….. you bunch of criminals!

You should stop this and allow national dealogue not this criminal demonstrations and rooting ……
 
Kwa hiyo kuvunja maduka na kuchoma bunge ndio suluhu?
Hizo ni outcomes zisikutishe

Pesa zinazokwapuliwa na hao wezi wavaansuti na mengine maovu wanayoyafanya ni hatari zaidi ya huo uharibifu unaouona
 
huko si ni kupoteza directions na kua confused wenyewe kwamba sasa hamjui hata mnataka nini 🐒

kwahivyo finance bill na mambo ya ushuru ilikua danganya toto right?🐒

I'm praying for you to stop dying because of politics 🐒
Hapa kwani wamekufa? Hawa wakitaka jambo lao kifo si changamoto kwao, kifo tunakiogopa sisi, Kwa ref ya 2007 kipindi cha Kibaki katangazwa mshindi vifo vilikuwa approx 2000 kama si 1500 kama sikosei.
 
Hapa kwani wamekufa? Hawa wakitaka jambo lao kifo si changamoto kwao, kifo tunakiogopa sisi, Kwa ref ya 2007 kipindi cha Kibaki katangazwa mshindi vifo vilikuwa approx 2000 kama si 1500 kama sikosei.
kwanini vilitokea vifo vyote hivyo na vilitokea zaidi upande gani wa Kenya?🐒

na je,
kulikua na kudekadeka na kubembelezana kama ilivyo sasa?🐒
 
Back
Top Bottom