Imetosha sasa, ni wakati muafaka Rais Ruto kuchukua hatua za makusudi za kimamlaka kuwadhubiti wahalifu nyuma ya Gen z na kurejesha amani

Imetosha sasa, ni wakati muafaka Rais Ruto kuchukua hatua za makusudi za kimamlaka kuwadhubiti wahalifu nyuma ya Gen z na kurejesha amani

sema tu unamkubali Ormond tu,
but anazungumza mambo ya kawaida sana tangu aanza kuandamana kipindi cha unga bei juu...

ni kweli wamgoje 2027,
na hayupo atampiku kiti cha Urais..

na hata Eric Ormond hiyo 2027 agombee ili alambishwe sakafu vizuri šŸ’

hata ashuke malaika Kenya sasa hivi hawez ongoza nchi ile bila kutoza ushuru.

maana yake wanatangeneza nchi ambayo Ikitokea Raisi anatoza ushuru tu basi vijana wanaandamana wana mtoa,🤣
Kwani umeambiwa wananchi wamekataa kutozwa ushuru Kwa ajili ya maendeleo ya nchi shida ipo wananchi wanatozwa ushuru wa juu halafu pesa wanakula watumishi wananenepa vitambi huku wananchi wanataabika hayo ndio maendeleo sio
 
kwahiyo nini msingi wa maandamano ya gen z?🤣
 
We kweli bwege atashinda vipi wakati raia wote wanampinga kura atapigiwa na nani kweli jomo Kenyatta hakukosea kukuita maiti
ni vijana kwenye maandamano tu, na ni kama tu mihemko, ghadhabu matusi yenu mitandaoni na nyakati za uchaguzi kwamba mnaweza kumshabikia na kumpamba fulani humu mitandaoni kwamba atashinda uchaguzi mahali Fulani kisha kumbe field mambo ni tofauti kabisa 🤣
 
Mzee hivi unajua kula za ruto na mpinzani wake zilivyopishana maana unaweza Kuta mtu unaongea hata siasa ya Kenya huijui
 
Misingi ya maandamano ni kupinga kupandisha Kodi ya juu halafu mwisho wa siku viongozi wanafanya kazi ya kula kunya tu huku mwananchi akiteseka
sasa huko si ndio kukataa kulipa ushuru kwenyewe ama?🤣

hiyo nyingine hata mtu mwingine hata kama hali ataenda toilet tu šŸ’
 
Mzee hivi unajua kula za ruto na mpinzani wake zilivyopishana maana unaweza Kuta mtu unaongea hata siasa ya Kenya huijui
ndio hivyo sasa kashinda,
ulitaka mpinzani ashinde utawala uliopo kwa kiwango gani?🤣
 
Huko ndio kukomaa kidemokrasia sasa..
Hapo lazima viongozi watawaheshimu wananchi sana.
The protests are about unemployment and unbearable cost of living in view of gross corruption, wastage and mismanagement of public resources.

Wakenya wapo serious kumbana Ruto, kitaeleweka tu.
 
Upo sahihi, Intelligensia kuna mahala either ilichemka au ilipuuza kimkakati ili hayo yote yatokee. Ukimsikiliza Erick Omondi hapa, ndiyo utajua hii game ilishakuwa planned kitambo na finance bill was just an entry point. Msikilize vizuri, kuna mahali amesema tutawatoa kabla ya 2027.

View: https://youtu.be/bI-KTmZGz14?si=fUijLFC1ItNza0P2

Sasa mkuu huoni Omondi na wenzie wana hoja?

Walipaswa wasikilizwe kabla sasa ambapo viongozi wanafanya kazi ya kufukia mashimo, hamna sehemu amesema hawataki kulipa kodi.

Yanaendelea sasa hivi ni matokeo ya viongozi kushupaza shingo, acha wakinywee hiko kikombe next time watajifunza.

Sisi tuendelee kuwadekeza wanasiasa wetu watuburuze kama kawaida, Mama mitano tena.
 
Ukinisoma vizuri, utaona kwamba sijaipinga hija ya Omondi, isipokuwa nimeelezea tu kwamba dalili zinaonyesha kuwa kuna kitu kilikuwa kinapikwa tangu na akina Omondi walitumika tu.
Nimeitumia hiyo kitu si kumpingacOmondi bali kuonyesha namna vyombo vya usalama vilitakiwa kuzingatia hayo matamshi ya akina Omondi na kumshauri rais either kurekebisha au kuachana na ule muswada. Zaidi washauri wake ndiyo walikua wakichochea rais achukue njia hiyo iliyowafikisha hapo
 
Back
Top Bottom