BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Inatolewa lin
Lewandoski anakuwa Robbed second time....
Kwa sababu wewe ni shabiki wa Messi huwezi kunielewa....Njoo na vigezo vinavyoonyesha anastahili
Kwa sababu wewe ni shabiki wa Messi huwezi kunielewa....
Wewe umetuwekea facts gani hapo juu?Nitakuelewa endapo utakuja na facts
Nasubiri.......
Kama wanavogawana majimbo ya uchaguzi bongoHizo tuzo huwa za kupeana tu
Hivi hizi tuzo zinatolewa kwa ubora wa siku zote au kwa msimu husika..
Jibu ni msimu husika,basi messi hastahili hii tuzo, lewandosk kafanya vizuri zaidi msimu uliopita.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kivipi? Kama wewe ni mwanasoka njoo na facts za ambae anasitahiliHizo tuzo huwa za kupeana tu
Hivi hizi tuzo zinatolewa kwa ubora wa siku zote au kwa msimu husika..
Jibu ni msimu husika,basi messi hastahili hii tuzo, lewandosk kafanya vizuri zaidi msimu uliopita.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Lewandowski Robbed
Mbona vigezo vya uliyempa hujaweka hapo?Njoo na vigezo vinavyoonyesha anastahili
Mbona vigezo vya uliyempa hujaweka hapo?