Imevuja Ballon D'OR (2021)

Imevuja Ballon D'OR (2021)

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
IMEVUJA
Screenshot_20211103-135539_Instagram.jpg


Kwa upande wangu LEO10 anasitahili, no doubt, na vigezo viko wazi.

Unaepinga jiandae kuja na facts with statistics.

Karibuni sana wadau, nawapendeni nyote
 
Hivi hizi tuzo zinatolewa kwa ubora wa siku zote au kwa msimu husika..

Jibu ni msimu husika,basi messi hastahili hii tuzo, lewandosk kafanya vizuri zaidi msimu uliopita.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Manahodha na makocha wa timu zote za taifa duniani hupiga kura kuamua mchezaji 1,2,3 bora wa dunia...

Hivyo ushindi hutegemeana na mahaba ya wengi
 
Hizo tuzo huwa za kupeana tu
Kivipi? Kama wewe ni mwanasoka njoo na facts za ambae anasitahili
Hivi hizi tuzo zinatolewa kwa ubora wa siku zote au kwa msimu husika..

Jibu ni msimu husika,basi messi hastahili hii tuzo, lewandosk kafanya vizuri zaidi msimu uliopita.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Ustazi, unaposema messi hastahili, umetumia kigezo gani!!! , ebu compare stats zao na wengine wajionee
 
Mbona vigezo vya uliyempa hujaweka hapo?

Leo Messi in 2021:
👕49 Games
⚽️40 Goals
🅰️14 Assists
🔑128 Chances created
⛹️‍♂️209 Dribbles
🏅27×Man of the match
🥇La liga top scorer
🥇Copa America top scorer
🥇Copa America top assister
🥇Copa America Most MOTM
🥇Copa America player of the tournament
🏆Copa America winner
🏅Copa del rey MVP
🏆Copa del rey winner
7th ballon d'Or loading for Messi.......🏆🐐
 
Back
Top Bottom