Imevuja Ballon D'OR (2021)

mpaka sasaivi Lewandowsk CL 8 goals, bundesliga 12 goals, msimu huu tuu goli 20 mpaka sasa

messi uefa goli 3, ligi 0 mpaka sasa goli 3 tuu

tukiacha ushabiki maandazi , 2020, 2021, hakuna mchezaji aliyefikia uwezo wa Robert
 
Dah hii Dunia Bana...Leo Ramos amekuwa wa kumtetea Messi?
 
Kama kweli hii itakuwa safi sana Aisee
 
Mi bado nalia na wale mbwa kumnyima Lewandowski ule msimu mwingine. Shenzi sana. Huyo Ronaldo tizi mchezaji kipaji yake haiwezi kuwafikia hawa watu wawili ever Ronaldinho na Messi. Hawa unaona kabisa vitu vinashuka kiwepesi bila nguvu tarattttttbu
 
Ikitokea amekosa hii tuzo, nahisi utajinyonga ndugu.
Nitakuwa mpumbavu kama wapumbavu wengine wanaojinyonga kisa matokeo/tuzo n.k.....

Mbali na ubora wake, Takwimu inajieleza yenyewe....kaeni mkao wa kula mshkaji anaondoka na 7th
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…