BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
- #81
Sema mpira burudanii Ila Messi Kwa msim huu psg kaflop Sana
Nafasi anayocheza messi ronaldo kamwe hawezi mpaka anakufa, na pale psg wabinafsi sana, wanambania mshkaji kumpa pasi. So ni jitihada zake ndiyo zinaamua.
Ile timu haifiki kokote, kila mtu anataka awe attacking midfielder mpaka beki wakati hiyo kazi ni ya Messi, ni heri angejiunga na city.