Imevuja Ballon D'OR (2021)

Imevuja Ballon D'OR (2021)

Sema mpira burudanii Ila Messi Kwa msim huu psg kaflop Sana

Nafasi anayocheza messi ronaldo kamwe hawezi mpaka anakufa, na pale psg wabinafsi sana, wanambania mshkaji kumpa pasi. So ni jitihada zake ndiyo zinaamua.

Ile timu haifiki kokote, kila mtu anataka awe attacking midfielder mpaka beki wakati hiyo kazi ni ya Messi, ni heri angejiunga na city.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
mpaka sasaivi Lewandowsk CL 8 goals, bundesliga 12 goals, msimu huu tuu goli 20 mpaka sasa

messi uefa goli 3, ligi 0 mpaka sasa goli 3 tuu

tukiacha ushabiki maandazi , 2020, 2021, hakuna mchezaji aliyefikia uwezo wa Robert
Kinachoangaliwa ni msimu uliopita na sio wa sasa
 
sio msimu bali mwaka, hta tukiangalia msimu, Robert top scorer ligi zote ulaya, top scorer champions league, zote hizo messi kahusika pia, kule copa america robert hajacheza wala eurom messi hajacheza, tukiacha ushabiki Robert hana mpinzani sio msimu jana tuu hata msimu huu anaendeleza
 
Tatizo lenu mnaleta ushabiki usio na maana....naomba takwimu za Lewandowski tufanye comparison, nimeomba pia kwa wenzio but hakuna aliekuja na majibu, so mmebaki kulialia tu mashabiki wa ronaldo.
 
takwimu zipi unazozitaka? za most dribliing, penaty donation, nk msimu huu tuu ambao mwaka wake hujesha R9 ana goli 20 messi 3, sasa sijui tuzo hiyo ni ya muda wote au mwaka husika
 
umetuletea takwimu nyingi za copa america na copa del rey, za champions league hakuna, sasa sijui kigezo ni copa america tuu na copa delrey
 
Leo Messi in 2021:
[emoji153]49 Games
[emoji460]️40 Goals
[emoji2402]14 Assists
[emoji360]128 Chances created
[emoji2087]209 Dribbles
[emoji966]27×Man of the match
[emoji1628]La liga top scorer
[emoji1628]Copa America top scorer
[emoji1628]Copa America top assister
[emoji1628]Copa America Most MOTM
[emoji1628]Copa America player of the tournament
[emoji471]Copa America winner
[emoji966]Copa del rey MVP
[emoji471]Copa del rey winner
7th ballon d'Or loading for Messi.......[emoji471][emoji238]
copa,copa ,copa
 
umetuletea takwimu nyingi za copa america na copa del rey, za champions league hakuna, sasa sijui kigezo ni copa america tuu na copa delrey

Hivi unajuwa kuwa tuzo inatolewa kwa mchezaji alieperfom!!! Wewe unachoangalia ni magoli ndio kigezo chako!

Ebu niambie kijana, Man of the match ana ngapi kumzidi messi? Je, amehusika na magoli mangapi kumzidi Messi?

Ukishakuja na majibu, naomba stats zake kwa ujumla....usikimbie tu
 
sasa lewa ni strikre, na kazi yake ndio hiyo sasa, within 4 months keshamzidi messi magoli 17, sasa utasema vipi haperform

sasa ninyi mnakuja na stats hadi za most goals outside the box
 
Mahaba ni maradhi mabaya sana

Lewa ameshapachika magoli 20 hadi sasa, Messi bado anatafuta goli la mwanzo france mwezi wa 4 huu. Bado pana cha kulinganisha hapo?

Ni either Lewa au Jorginho mwengine yoyote itakua si sawa na uchaguzi wa bongo wa 2020
 
sasa lewa ni strikre, na kazi yake ndio hiyo sasa, within 4 months keshamzidi messi magoli 17, sasa utasema vipi haperform

sasa ninyi mnakuja na stats hadi za most goals outside the box

Nikuulize, Tuzo huwa inatolewa kwa vigezo vipi?
 
huwa sana ni mahaba tuu, kama Suarez amesema ame vote kwa messi sababu ni rafiki yake, Mendy wa chelsea hayupo kwenye nominees eti Neymar yupo

Nimeomba vigezo wewe unaleta story za mahaba tena, unadhani tuzo za bongo hizo! Ronaldo angeshika nafasi ya kwanza mngeleta kelele zenu na kulialia Lewandowski apewe!!!! Kigezo hapa ni Messi na si mwingine, acheni michuki yenu......
 
sio msimu bali mwaka, hta tukiangalia msimu, Robert top scorer ligi zote ulaya, top scorer champions league, zote hizo messi kahusika pia, kule copa america robert hajacheza wala eurom messi hajacheza, tukiacha ushabiki Robert hana mpinzani sio msimu jana tuu hata msimu huu anaendeleza
Kwenye soccer ni msimu sio mwaka, kwa tunzo hii inaangaliwa msimu wa 2020/2021
 
Nimeomba vigezo wewe unaleta story za mahaba tena, unadhani tuzo za bongo hizo! Ronaldo angeshika nafasi ya kwanza mngeleta kelele zenu na kulialia Lewandowski apewe!!!! Kigezo hapa ni Messi na si mwingine, acheni michuki yenu......
Vigezo gani huyo Messi alitishwa goli 8 na Lewandoski
 
Wewe siyo mwanasoka bali ni shabiki usiejuwa nini maana ya hii tuzo, na inatolewa kwa vigezo gani.....Nimeomba statistics zake kama nilivyolist za 🐐 hakuna aliethubutu kuleta....subiri 29 November ndiyo uje upinge na utoe sababu ya kwanini apewe the 🐐.......ninyi munakimbilia kwenye magoli tu ndiyo kimbilio lenu, so magoli ndiyo yampatie mtu tuzo!! Akili ya wapi hiyo kamanda! Just think b4 u tok....
 
hata tukiangalia msimu ,lewandowsk individual ana msimu bora kuzidi mchezaji yoyote yule

Kelele hazina maana If you don't bring statistics kamanda, tunaomba stats zake please!!

Nasubiri....
 
🚨 BREAKING: Lionel Messi has been informed by the editorial staff of France Football that he is the winner of the #BallonDor2021 ! 😱

Messi will receive his 7th #BallonDor on November 29 at the Théâtre du Châtelet, in Paris. 🐐
 
Shukuran kamanda The Boss kwa taarifa
 
Back
Top Bottom