Imevuja: Jokate anaishi na Hasheem Thabeet

Badala ya kujadili mapenzi tuuu; tujadili kwa nini huyu Mtanzania mwenzetu (Thabit Hasheem) anachemsha sana NBA,?
 
Shida wap hapo! Waache wale rahaa au ulitaka aje ishi na wewe mbeba mabox?
 

Jokate hajamaliza sheria,amemaliza BA IN POLITICAL SCIENCE+PUBLIC ADMINISTRATION,(BA,PSPA),nina uhakika koz nilisoma nae baadh ya koz za POLITICAL SCIENCE(PS)
 

Jokate hajamaliza sheria,amemaliza BA IN POLITICAL SCIENCE+PUBLIC ADMINISTRATION,(BA,PSPA),nina uhakika koz nilisoma nae baadh ya koz za POLITICAL SCIENCE(PS)
 
.

Unamjua mwenye U-TURN blog?. hii habari ichukue kwa makini
 
Kwanza hongera hasheem kusikia umerudi bongo na kutafuta kitu chako cha kitanzania na zani hayo mapenzi yenu yatakuwa ni ya dhati big up kaka hasheem
 
Ma superstar wote si bongo wala nje ni ma gold digger. Mapenzi yao yako well calculated wala hawa-fall in love with a person but person's properties Ndo maana break ups ni nyingi sana. Mimi siamini Uwoya kampenda Ndikumana mtu alokuwa nchi nyingine na kuna wanaume kibao bongo. Kaangalia mafao jamaa akichacha tu, talaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…