profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Wakuu nahitaji ushauri.Gari ni RUNX,maji yalikuwa yakipungua kidogo,fundi wangu akafungua kabisa REJETA ili aicheki,lakini hakuona tatizo.
Iliporudishiwa ndo yameibuka matatizo ambayo hayakuwepo,Engine chek imewaka,alarm ya reverse gia ina koroma,mishale ya dashboad hasa rpm unajiless sana,wakati mwingine gari inamis kuwaka,sasa fundi nae uwezo wake umeishia hapo,ila gari inatembea,na matatizo ndo hayo,msaad kwa mzoefu wa hizi mambo wakuu.