profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Ina maana umeshindwa kupeleka mutukaa yako gereji ndiyo umeamua kutupatia quiz humu JF?Hebu acha usumbufu zee la RUNX.Wakuu nahitaji ushauri.Gari ni RUNX,maji yalikuwa yakipungua kidogo,fundi wangu akafungua kabisa REJETA ili aicheki,lakini hakuona tatizo.
Iliporudishiwa ndo yameibuka matatizo ambayo hayakuwepo,Engine chek imewaka,alarm ya reverse gia ina koroma,mishale ya dashboad hasa rpm unajiless sana,wakati mwingine gari inamis kuwaka,sasa fundi nae uwezo wake umeishia hapo,ila gari inatembea,na matatizo ndo hayo,msaad kwa mzoefu wa hizi mambo wakuu.
Mtafute fundi MAIKO akusaidie kuiweka gari juu ya mawe!Wakuu nahitaji ushauri.Gari ni RUNX,maji yalikuwa yakipungua kidogo,fundi wangu akafungua kabisa REJETA ili aicheki,lakini hakuona tatizo.
Iliporudishiwa ndo yameibuka matatizo ambayo hayakuwepo,Engine chek imewaka,alarm ya reverse gia ina koroma,mishale ya dashboad hasa rpm unajiless sana,wakati mwingine gari inamis kuwaka,sasa fundi nae uwezo wake umeishia hapo,ila gari inatembea,na matatizo ndo hayo,msaad kwa mzoefu wa hizi mambo wakuu.
na uchungu na chuki kubwa sana mioyoni mwetu,ndo maana tunakufa mapema.Mtafute fundi MAIKO akusaidie kuiweka gari juu ya mawe!
Hapo shida ipo kwenye control box inatakiwa pia iwe flashed history yake sio tatzo kubwa. Kwa mafundi haswa wanajuaWakuu nahitaji ushauri.Gari ni RUNX,maji yalikuwa yakipungua kidogo,fundi wangu akafungua kabisa REJETA ili aicheki,lakini hakuona tatizo.
Iliporudishiwa ndo yameibuka matatizo ambayo hayakuwepo,Engine chek imewaka,alarm ya reverse gia ina koroma,mishale ya dashboad hasa rpm unajiless sana,wakati mwingine gari inamis kuwaka,sasa fundi nae uwezo wake umeishia hapo,ila gari inatembea,na matatizo ndo hayo,msaad kwa mzoefu wa hizi mambo wakuu.
I agree with thisBadilisha fundi mkuu preferably mwenye ofisi, ukipata wa diagnosis itapendeza zaidi
asante mkuu,kwa ushauri wako,nikishafanyia kazi ntakupa mrejesho,pia juzi ilizima ghafla katikati ya barabara..Hapo shida ipo kwenye control box inatakiwa pia iwe flashed history yake sio tatzo kubwa. Kwa mafundi haswa wanajua