Miaka mitatu ya magu munaweweseka ajabu hamuna raha wala amaniπππNa nyie kwa dead states. Otherwise acha povu mwana govi
Hahaa kwa awamu hii ya jiwe, ukifanikiwa hukoo siku hizii unaambiwa unakatisha hela!Yote hayo ni yale yale wana Lumumba mumepewa muimbe kama mapambio.
Matatizo ya KQ ni ya kibiashara na yanaendelea kutatuliwa
Waturkana na Wapokot huko ni mkoa unaokumbwa na kiangazi, ni mambo ambayo hauwezi ukayabadilisha maana zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame na jangwa, lakini ile kwamba ni Wakenya huwa wananufaika kutokana na juhudi za mikoa iliyo sawa, lakini wangekua Tanzania wangekufa wengi maana nchi yenu ina rotuba kila sehemu lakini bado maskini wa kutupwa.
Kibera na Mathare ni makazi duni yanayoboreshwa kila siku kadiri uchumi wetu unavyozidi kukua, hamna taifa dunia hii isiyokua na maeneo yenye makazi duni, nenda Soweto, Afrika Kusini.
Hahah hio ndoto uganda hana matuamini yakujenga SGR sio leo wala kesho wanachotaka ni kutumia port bell ziwa victoria ndio maana mukageuza upepo na kwenda kisumu ππππ
Wakat mwanzo ilikua malaba na sasa kisumu harufu ya white elephant inanukia
19.4 trillion tsh just 840km aisee mchina sio mtu wakuchezea hapo bado interest yake
We have learned to ignore fools like you who are a bad example of the good people of Danganyika. if they knew you were here misrepresenting and giving them a bad name they would stone you to death
Huyu ni blind patriot wa kusifia Dar., kazi ni ku-google any report huwa haangalii tarehe Wala kuisoma kikamilifu., nilidharau hoja zake kitambo sana., nikama vile Geza alivyo kua kiherehere miaka tatu za nyuma., kila alicho wazia ama kuongelea hakikutendeka, facts zita wa prove wrong.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka mitatu ya magu munaweweseka ajabu hamuna raha wala amaniπππ
Hio ni mchoro uko kwenye karatasi but 1st ilikua iende malaba baada ya uganda kuonekana hana nia bado ndio mukaamisha magoli kwenda kisumu, usijitoe ufahamu uganda sio leo wala kesho am telling u na bado hana nia kabisa na SGRπππ take heartπππView attachment 1067825after kisumu inaenda malaba..mjinga ujielewi unadhani malaba iko mbali na Kisumu
Wacha hasira plz kuja mosmos budaaππHuyu ni blind patriot wa kusifia Dar., kazi ni ku-google any report huwa haangalii tarehe Wala kuisoma kikamilifu., nilidharau hoja zake kitambo sana., nikama vile Geza alivyo kua kiherehere miaka tatu za nyuma., kila alicho wazia ama kuongelea hakikutendeka, facts zita wa prove wrong.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania imeanza kupanda uchumi juzi tu alipoingia magufuli ndio uchumi umeonekana kwenda kwa kasi zaidi ila huko nyuma ilikua inapanda pia lakini sio kwa kasiMiaka thelatini ya 7 % growth and Uganda is catching up with you. Are you even human beings
Mm hua nafurahi nikiona vile munavoipa moto GDP wakat hatuoni hio GDP ilipoπππichoboy...jifariji na kibera please...bwahaaaa...yani amekasirika hadi basi...Il anatamani awaroge jamaa wa IMF
Kazi ya GDP hii hapaππππππ tena referral hospitalichoboy...jifariji na kibera please...bwahaaaa...yani amekasirika hadi basi...Il anatamani awaroge jamaa wa IMF
Hio ni mchoro uko kwenye karatasi but 1st ilikua iende malaba baada ya uganda kuonekana hana nia bado ndio mukaamisha magoli kwenda kisumu, usijitoe ufahamu uganda sio leo wala kesho am telling u na bado hana nia kabisa na SGR[emoji38][emoji38][emoji38] take heart[emoji38][emoji38][emoji38]
maskini....kumbe hta ramani ya sgr huijui...tupia picha za kibera basi...hujazimiss kwanHahah hio ndoto uganda hana matuamini yakujenga SGR sio leo wala kesho wanachotaka ni kutumia port bell ziwa victoria ndio maana mukageuza upepo na kwenda kisumu ππππ
Wakat mwanzo ilikua malaba na sasa kisumu harufu ya white elephant inanukia
19.4 trillion tsh just 840km aisee mchina sio mtu wakuchezea hapo bado interest yake
Buda Ata hujielewiMm hua nafurahi nikiona vile munavoipa moto GDP wakat hatuoni hio GDP ilipo[emoji38][emoji38][emoji38]
Tena katika awamu zote kenyatta ndio kaua nchi kabisaa
ndio huyu hapa mrembo akitafuna GDPπππππππtupia picha za kibera nawe ichoboy..huenda zitabadili gdp yenu...usisahau na kumuita akili punguan aje atupie jamaa wa turkana..huoni hyo ni collabo poa ya kuimarisha uchumi wenu
Hawana umeme unayo source ??? Kibera anatoa wapi hela ua kulipa kodi wakat pesa ya kununua unga hanaππππakili hemu tupia picha za middle class wa tandale na mbagala tuzione...bwahaaaa...yani mtu wa kibera analipa kodi na analipia umeme...ila dar kuna watu hawana hata umeme..maskini..
tupia hzo middle class estates za dar...na usisahau za kagera pia kw wale matahira ya kulana uroda barabarani
Tanzania ikitokea njaa, tutahama nusu ya nchi, church mice syndromeIn-house 'economist' Mkikuyu- Akili timamu alisoma hii habari lakini akaamua hataileta hapa JF.
Well, the news has reached the rest of us.
Last week IMF released it's latest (2019) GDP figures.
Great news for Kenya, slow growth for Tanzania as usual.
Kenya has overtaken Ethiopia in the latest figures, and we're now just 1 year short of reaching $100 billion.
Tanzania has been overtaken by Ghana as expected.
Meanwhile, the gap between the GDPs of Kenya and Tanzania has grown from $23 billion last year, to $38 billion this year.
What that means is that the economy of Kenya is larger than Tanzania, Uganda, Burundi and South Sudan combined.
Tanzania is behind in everything, ata ile wanapenda kujidanganya ati PPP. They are behind everywhere.
Sasa, eliakeem na wenzake wataambia nini watu?
Full data - https://www.imf.org/external/datamapper/NGDPD@WEO/OEMDC/ADVEC/WEOWORLD/AFQ
African countries GDP nominal in $ US Billion. I've listed countries with a GDP above $ US 30 Billion.
1. Nigeria - $444.9 billion
2. South Africa - $371.3 billion
3. Egypt - $299.6 billion
4. Algeria - $183.7 billion
5. Morocco - $121.4 billion
6. Kenya - $99.2 billion
7. Angola - $92.2 billion
8. Ethiopia - $91.0 billion
9. Ghana - $68.3 billion
10. Tanzania - $61.0 billion
11. DR Congo - $48.5 billion
12. Cote d'Ivoire - $45.3 billion
13. Libya - $45.0 billion
14. Cameroon - $39.2 billion
15. Tunisia - $36.2 billion
16. Sudan - $31.5 billion
17. Uganda - $30.4 billion
Those same countries but now ranked by GDP PPP,
1. Egypt - $1,391.7 billion
2. Nigeria - $1,214.8 billion
3. South Africa - $813.1 billion
4. Algeria - $684.6 billion
5. Morocco - $330.4 billion
6. Ethiopia - $240.7 billion
7. Ghana - $211.1 billion
8. Angola $203.8 billion
9. Kenya - $191.0 billion
10. Tanzania - $186.1 billion
11. Sudan - $176.7 billion
12. Tunisia - $150.8 billion
13. Cote d'Ivoire - $117.0 billion
14. Uganda - $104.9 billion
15. Cameroon - $101.1 billion
16. Libya - $79.3 billion
17. DRC - $77.4 billion
Same countries ranked by GDP nominal per capita in $ US,
1. Libya - 6,836
2. South Africa - 6,331
3. Algeria - 4,230
4. Morocco - 3,410
5. Tunisia - 3,073
6. Angola - 3,060
7. Egypt - 3,020
8. Ghana - 2,263
9. Nigeria - 2,233
10. Kenya - 2,011
11. Cote d' Ivoire - 1,722
12. Cameroon - 1,538
13. Tanzania - 1,172
14. Ethiopia - 951
15. Uganda - 759
16. Sudan - 728
17. DRC - 495
Same countries ranked by GDP PPP per capita in $ US,
1. Algeria - 15,766
2. Egypt - 14,028
3. South Africa - 13,865
4. Tunisia - 12,801
5. Libya - 12,051
6. Morocco - 9,284
7. Ghana - 6,998
8. Angola - 6,763
9. Nigeria - 6,098
10. Cote d' Ivoire - 4,454
11. Sudan - 4,089
12. Cameroon - 3,965
13. Kenya - 3,869
14. Tanzania - 3,573
15. Uganda - 2,622
16. Ethiopia - 2,517
17. DRC - 791