IMF April 2019 GDP Figures. Kenya Hits $99 Billion.. Tanzania Overtaken by Ghana

IMF April 2019 GDP Figures. Kenya Hits $99 Billion.. Tanzania Overtaken by Ghana

Mjinga ndio huyu ichoboy01
23.PNG
anafaa kusoma hii
24.PNG
 
doctor ratin kenya ni 1 : 5000 nyinyi n 1: 30000 hata hauna aibuView attachment 1067780View attachment 1067781
Hapa wanazungumzia doctors waliomakazini au vp maana sijaelewa..kwa mwaka mmoja hua kuna more than 1000 graduates wa MBBS/M.D/Dental surgeons Whatever you wanna call it...
GoT haiwez kuajiri graduates wote but shortage inayozungumziwa hapa Ni kubwa, kuna mabadiliko yamefanyika...
Ofcz vijana wachache humudu kusoma hata masomo lakini sitegemei kwamba hizi twakimu ziko up to date. ..
Ntatafuta taarifa za ndani zaidi juu ya hili jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa yenyu na nani??., vyanzo vya kutega uchumi kimapato hayatoshelezi mahitaji ya bajeti ukiweka kando maendeleo., mutakuwa vilaza hadi lini??., munabebwa ujinga.,
Mmetuzidi gdp lakini kibarabara cha km 2 tu mmetembeza bakuli kwa macron,while sisi project karibia zote zinazofanyika zinafanywa kwa pesa ya ndani,tunajenga sgr kwa pesa yetu,stigler kwa pesa yetu,tumenunua ndege cash kwa pesa yetu,ikiwa nyie wenye gdp kubwa mnakufa njaa huko turkana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii IMF inawaonea sana Tz naona kina @luangila joto la jiwe wameanza kuyatumia yale majina ya njaa, failed state na Turkana. Namba mtazidi kuisoma .
 
Barabara ya kimara to kibaha 8 lane under construction kwa pesa yetu,kaeni na magdp yenu huku mnakufa njaa na kutembeza bakuli hata kwa kibarabara cha km 1!
Pesa yenyu na nani??., vyanzo vya kutega uchumi kimapato hayatoshelezi mahitaji ya bajeti ukiweka kando maendeleo., mutakuwa vilaza hadi lini??., munabebwa ujinga.,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If there is anything i would take from this report, it is that the southern neighbors are getting worse off. When Mapadlock was taking over, GDP figures from both countries were at a touching distance and trade between the two nations was at an all time high. Then akaingia, mara vifaranga vimechomwa, mara sijui hii haiendi kenya, mara Korosho nini. If Tz bets on him for ten years we will start doing the kind of comparison that is there between Ethiopian airline and Kenya airways 2010 versus 2019
 
There is a lot of food in Nairobi and other towns. Most of it going to waste.
The guys in Turkana should move from their isolated huts and move to urban centres. No one dies of hunger in urban areas.
Na hao wanaoishi kwenye slum vp hali zao hapo nairobi wanakula na wakashiba??😆😆
 
BUDA fikiria before u type akili ulipewa usiogope kuitumia
View attachment 1067815View attachment 1067816
Nilijua haiwez fika malaba😆😆😆 ilikua ni ndoto ya alinacha na hapo mumekwisha harufu ya white elephant imenukia mawazo ya kufika rwanda na congo yameishia kwenye karatasi😂😂😂😂 nyie munawaza kupitisha mzigo kuelekea port bell sisi tushaanza kupeleka mizigo kupitia meter gauge 😆😆😆 tulipotoka ndipo munafkiri kuja

Sasa mujiandae 19.4 trillion hapo bado interest kudadeki 😁😁😁
 
We have learned to ignore fools like you who are a bad example of the good people of Danganyika. if they knew you were here misrepresenting and giving them a bad name they would stone you to death
Acha hasira mufike sehemu mutoke kwenye kundi la failed state 😁😁😁😁
 
Nilijua haiwez fika malaba😆😆😆 ilikua ni ndoto ya alinacha na hapo mumekwisha harufu ya white elephant imenukia mawazo ya kufika rwanda na congo yameishia kwenye karatasi😂😂😂😂 nyie munawaza kupitisha mzigo kuelekea port bell sisi tushaanza kupeleka mizigo kupitia meter gauge 😆😆😆 tulipotoka ndipo munafkiri kuja
sgr inaenda kisumu alafu ingine inabranch inaenda eldoret malaba..tumia kichwa vizuri nuguu hii research before ufanye ujinga
 
sgr inaenda kisumu alafu ingine inabranch inaenda eldoret malaba..tumia kichwa vizuri nuguu hii research before ufanye ujinga
Hahah hio ndoto uganda hana matuamini yakujenga SGR sio leo wala kesho wanachotaka ni kutumia port bell ziwa victoria ndio maana mukageuza upepo na kwenda kisumu 😂😂😂😂
Wakat mwanzo ilikua malaba na sasa kisumu harufu ya white elephant inanukia

19.4 trillion tsh just 840km aisee mchina sio mtu wakuchezea hapo bado interest yake
 
Back
Top Bottom