kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
- Thread starter
-
- #241
Not surprised with IMF reaction after JPM tightened the noose for mining companies and EPA!
Wacha matusi wewe, Ni kitu hujui Kwan, Tz imebadili mambo mengi sana ndani ya uongoz wa Magu, Hao wazungu wamebanwa makende mno,sio kwenye madini,utalii,wala gas, lazima tupitie kipindi kigumu kwanza...badae ndio mtakuja kuona impact yake...japo naona kabisa tunakwenda vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yako magumu,huna hela wewe,usizuge!Haha Kenya pia kuna wanaume wengi tu kama wewe wanaoenda kwenye bar kila siku. Lakini mimi pombe nainywa for social reasons sio kila siku. Yaani nikiwa free pengine wikendi ndio utanipata huko.
GDP ni ujinga,ambao ni mafukara tu huishangiliaichoboy01 kubali tu kukaa hapa kila siku nikukumbushe;
Failed state,deni na njaa $100b tena namba 6
Kisiwa cha amani na kula kinyesi namba 10 $60b
Na usisahau kuja na emoji na picha za Kibera.
Ha naeza kununua na nikuuze kisha nikununue tena na nikuuze.Maisha yako magumu,huna hela wewe,usizuge!
Huyo dem anaitwa Lucy. Alikuwa ameolewa na mkenya akatalikiwa kisa uzembe.Ha naeza kununua na nikuuze kisha nikununue tena na nikuuze.
Nairobi, Mombasa na kisumu pekee????GDP AND PPP kama inakua ionekane kwa mabadiliko ya maisha ya watu wa kawaida huduma kama makazi. Umeme. Barabara. Afya. Maji. Dawa vinapatikana maendeleo ya kesnya yapo nairobi. Mombasa na kisumu the rest wanapambana na hali zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mama wa GDP ya pepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nairobi, Mombasa na kisumu pekee????
Nilidhani una kichwa, kumbe ni mkebe mtupu wa kupigia watu kelele bure.
Hapana ni sawa na mwanafunzi aliejibu swali gumu darasani alafu maswali mengine kazingua kapata chini ya kiwango...Kenya ni sawa na MTU amepata FIRST CLASS halafu hana maendeleo ya kimaisha ila ana akili nyingi saana za darasani
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly, Kenya is richer than Tanzania though we are all broke. Tanzania just happens to be more broke.I am richer than my neighbor although we both live in slums
Tanzania ni sawa na yule aliyefeli shule ya upili hata hangeweza kujiunga na chuo kikuu na amekuwa maskini wa kutupwa sababu ya hilo.Kenya ni sawa na MTU amepata FIRST CLASS halafu hana maendeleo ya kimaisha ila ana akili nyingi saana za darasani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida yenu ya kupenda SIFA, watu wanakufa kwa njaa, unemployment inaongezeka kila kukicha, rushwa na scandals zinaongezeka, wafanyanyakazi migomo haipungui, KQ inafilisika, hali ya maisha inazidi kuwa mbaya, deni la nchi linaongezeka, kila project hata kama ni ndogo lazima mkakope, yoooote hayo kwenu hamuyaoni, ila mkuone GDP hewa ya makaratasi kama hivi mnajiona mpo vizuri sana.
Tuambieni, what is the effect of this cooked GDP to Kenya and Kenyans in general, apart from inflated Ego?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hio mikaratasi tunataka TANGIBLE THINGS OR PHISICAL CHANGES.
GDP haina msaada kama hai-transform maisha ya watu wa kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya hayo yote, size ya nchi ya Tz ni karibia mara mbili ya Kenya. Ardhi ya Kenya ni kame kwa 90%, Tz madini pia wanayo kwa wingi.Jenya tunafnya kazi. Watz wanajua hii ni ukweli.
-Number one exporter of textiles in east and central africa by far
-3rd largest tea exporter in the world
-Largest Flower exporter to europe
-Largest company in terms of revenue and profit in the region - safaricom
-Most developed road network
-Highest diaspora remittance inflows growing each year
-4th largest stock exchange in Africa
-largest mall in the region
-Largest consumer of power in the region
-largest government budget
-Best mobile money use in Frica
-1st in financial inclusion in Africa
-14th fastest internet speeds in the world
-The most buildings above 20 floors and 2nd tallest building in Africa
-3rd most innovative and 1st most creative in africa
-2nd highest life expectancy in region following Rwanda
-Largest port in the region
This is how we(tz) see you(ke) with your GDP[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]paperworkIla mkitupita kwa hiyo GDP mtajaza nyuzi humu jinsi mlivyotupiku. GDP haina msaada tu wakati ule tupo mbele yenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu lini Joho akawa Mtanzania? Hivi kulingana ni hiyo akili yako mavi unadhani Ali Hassan Joho ni Mtanzania? πππThis is how we(tz) see you(ke) with your GDP[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]paperworkView attachment 1069261
Sent using Jamii Forums mobile app