IMF April 2019 GDP Figures. Kenya Hits $99 Billion.. Tanzania Overtaken by Ghana

IMF April 2019 GDP Figures. Kenya Hits $99 Billion.. Tanzania Overtaken by Ghana

We are happy with all. That is just a number. Lazima kutakuwa na namba moja hadi ya mwisho. Coz tz sio ya mwisho tunazidhika and aluta continue..mapambano bado yanaendelea. Kenya jitahidin mshike namba moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha matusi wewe, Ni kitu hujui Kwan, Tz imebadili mambo mengi sana ndani ya uongoz wa Magu, Hao wazungu wamebanwa makende mno,sio kwenye madini,utalii,wala gas, lazima tupitie kipindi kigumu kwanza...badae ndio mtakuja kuona impact yake...japo naona kabisa tunakwenda vizur

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli. Hata Zimbabwe iliyapitia yayo hayo na wazungu wao.
Hadi leo wanajaribu kujitoa kutoka shimo walilochimba.
 
Haha Kenya pia kuna wanaume wengi tu kama wewe wanaoenda kwenye bar kila siku. Lakini mimi pombe nainywa for social reasons sio kila siku. Yaani nikiwa free pengine wikendi ndio utanipata huko.
Maisha yako magumu,huna hela wewe,usizuge!
 
ichoboy01 kubali tu kukaa hapa kila siku nikukumbushe;
Failed state,deni na njaa $100b tena namba 6
Kisiwa cha amani na kula kinyesi namba 10 $60b
Na usisahau kuja na emoji na picha za Kibera.
GDP ni ujinga,ambao ni mafukara tu huishangilia
 
GDP AND PPP kama inakua ionekane kwa mabadiliko ya maisha ya watu wa kawaida huduma kama makazi. Umeme. Barabara. Afya. Maji. Dawa vinapatikana maendeleo ya kesnya yapo nairobi. Mombasa na kisumu the rest wanapambana na hali zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi, Mombasa na kisumu pekee????
Nilidhani una kichwa, kumbe ni mkebe mtupu wa kupigia watu kelele bure.
 
Kama kawaida yenu ya kupenda SIFA, watu wanakufa kwa njaa, unemployment inaongezeka kila kukicha, rushwa na scandals zinaongezeka, wafanyanyakazi migomo haipungui, KQ inafilisika, hali ya maisha inazidi kuwa mbaya, deni la nchi linaongezeka, kila project hata kama ni ndogo lazima mkakope, yoooote hayo kwenu hamuyaoni, ila mkuone GDP hewa ya makaratasi kama hivi mnajiona mpo vizuri sana.

Tuambieni, what is the effect of this cooked GDP to Kenya and Kenyans in general, apart from inflated Ego?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tanzania ndio hawapendi sifa?
 
Kenya tunafnya kazi. Watz wanajua hii ni ukweli.
-Number one exporter of textiles in east and central africa by far
-3rd largest tea exporter in the world
-Largest Flower exporter to europe
-Largest company in terms of revenue and profit in the region - safaricom
-Most developed road network
-Highest diaspora remittance inflows growing each year
-4th largest stock exchange in Africa
-largest mall in the region
-Largest consumer of power in the region
-largest government budget
-Best mobile money use in Frica
-1st in financial inclusion in Africa
-14th fastest internet speeds in the world
-The most buildings above 20 floors and 2nd tallest building in Africa
-3rd most innovative and 1st most creative in africa
-2nd highest life expectancy in region following Rwanda
-3rd largest Airline in Africa, best airline and business class offering in Africa-Kenya airways
-Largest port in the region
-busiest airport in region and ranked best in Africa, JKIA
-Ranked Best beach diani and national park Maasai mara in Africa
-Nairobi has highest FDI inflows in the region
-4th largest cement producer in Africa
-Sports is self explanatory
E.t.c e.t.c
And growing more and more


Where is a list if TZ achievements so we compare see where the big difference in gdp size comes from

-
 
Jenya tunafnya kazi. Watz wanajua hii ni ukweli.
-Number one exporter of textiles in east and central africa by far
-3rd largest tea exporter in the world
-Largest Flower exporter to europe
-Largest company in terms of revenue and profit in the region - safaricom
-Most developed road network
-Highest diaspora remittance inflows growing each year
-4th largest stock exchange in Africa
-largest mall in the region
-Largest consumer of power in the region
-largest government budget
-Best mobile money use in Frica
-1st in financial inclusion in Africa
-14th fastest internet speeds in the world
-The most buildings above 20 floors and 2nd tallest building in Africa
-3rd most innovative and 1st most creative in africa
-2nd highest life expectancy in region following Rwanda
-Largest port in the region
Zaidi ya hayo yote, size ya nchi ya Tz ni karibia mara mbili ya Kenya. Ardhi ya Kenya ni kame kwa 90%, Tz madini pia wanayo kwa wingi.
 
Ila mkitupita kwa hiyo GDP mtajaza nyuzi humu jinsi mlivyotupiku. GDP haina msaada tu wakati ule tupo mbele yenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This is how we(tz) see you(ke) with your GDP[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]paperwork
IMG-20181126-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom