Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nn kimebadilika we KENGE kwani GDP si inafaa inunue chakula au ibaki kwa karatasi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Msosi wenyewe tu hujalaHa naeza kununua na nikuuze kisha nikununue tena na nikuuze.
Oya vp umekula wewe? Maana nyie huwa mnatafuna GDPHuyo dem anaitwa Lucy. Alikuwa ameolewa na mkenya akatalikiwa kisa uzembe.
Hii GROUP KENYA imejaa waafrika.Nigerians,wanyarwanda, Ugandans, Zambians, south Africans,Tanzanians ,Ghanaians na kadhalika.Hapa ndio wakenya hu troll waafrika wenzao. hivi majuzi ilikuwa Zambians turn. No one can defeat Kenyans in an online fight.savagesThis is how we(tz) see you(ke) with your GDP[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]paperworkView attachment 1069261
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnachakula nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi chakula chetu mmetununulia nyie? Hii ndio shida ya kuwa na mdomo kubwa kuliko akili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao waturkana mnawalisha nyie? Toa hapa upuzi. At least joto la jiwe has an idea of what he speaks of. You, you're just daft.Mnachakula nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hurumieni wenzenu
_wapokoti
_Waturkana
Sent using Jamii Forums mobile app
wasiojulikana wamekutishia kukuteka ukikubali umeshindwa mjadala nn..manake una change gear angani km bichwa la yule dictator wenu..Mnachakula nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hurumieni wenzenu
_wapokoti
_Waturkana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwakuta humu akina ichoboy &co.wanavyotafuta tu kesi twa ufisadi twa Kenya utadhani Tzn kuko sawa,sasa kaone ripoti ya CAG ni wizi,ufisadi,losses every where yaani since Kikwete era things are turning upside down and falling apartjoto la jiwe Geza Ulole ichoboy01 mbona hamjaleta ripoti ya CAG? nimeitupia macho pale jukwaa la siasa na uchumi wenu ni hali mbaya pamoja na ufisadi wa sare za jeshi la polisi.
Madudu hayakosekani kwenye ukaguzi...lakini upigaji wenu ni next levelUkiwakuta humu akina ichoboy &co.wanavyotafuta tu kesi twa ufisadi twa Kenya utadhani Tzn kuko sawa,sasa kaone ripoti ya CAG ni wizi,ufisadi,losses every where yaani since Kikwete era things are turning upside down and falling apart
Just to sum up,the degree of ldc stutus is being consolidated
Acha hizo awamu hii ya Magufuli ndo kuna upigaji wa next level,imagine 1.3blns kutumika kama pesa ya vikao 20 tu vya bodi kulipana posho,hiyo pesa inajenga hospitali ya wilaya tena ya ghorofa,kwa slum country kama Tzn ni hataree sana,sijui lini mtagraduate kwenye umaskini wa kutopeaMadudu hayakosekani kwenye ukaguzi...lakini upigaji wenu ni next level
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupiga kelele kama mbweha,leta hoja za msingiAcha hizo awamu hii ya Magufuli ndo kuna upigaji wa next level,imagine 1.3blns kutumika kama pesa ya vikao 20 tu vya bodi kulipana posho,hiyo pesa inajenga hospitali ya wilaya tena ya ghorofa,kwa slum country kama Tzn ni hataree sana,sijui lini mtagraduate kwenye umaskini wa kutopea
Umepumbazwa na ujinga wako wa ki ldc,ushahidi gani unataka zaidi ya huo wa CAG wenu we nguchiro
I thought you were a tzedianUmepumbazwa na ujinga wako wa ki ldc,ushahidi gani unataka zaidi ya huo wa CAG wenu we nguchiro
Naishi ldc lakin nnauwezo wa kukupa mtaji wa maisha yako uondoke kwenye umaskini kabisaUmepumbazwa na ujinga wako wa ki ldc,ushahidi gani unataka zaidi ya huo wa CAG wenu we nguchiro
Kama unao huo uwezo wasaidie hao maskini wanaokuzunguka huko ldc nchi inaongoza kwa utapia mlo,mimi namudu maisha ndo maana napata hadi pesa ya bandoNaishi ldc lakin nnauwezo wa kukupa mtaji wa maisha yako uondoke kwenye umaskini kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina asili ya Kenya moja ya wazazi wangu lakini tumelowea ldc na naishi huku ldc,am a diaspora from ldc,haaa haaaI thought you were a tzedian