Kwa mujibu wa IMF miaka mitano kutoka sasa uchumi wa China utaupita ule wa USA na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza tangu mwaka 1890 pale uchumi wa USA ulipoupita ule wa UK.
Je hiyo itakuwa ndiyo mwisho kabisa wa tambo za USA au nao watakuja kuipiku China tena au labda India?
But US will get ahead again... Is just those 2 wars if they get out they will be OK; China has no any creativity they only have the Market; all the products in China are American Technology looking 4 a cheaper Labor and Markets