IMF: Ethiopia's GDP to hit $78B this year, Kenya at $75B

well said bro
 
Hata makazi ya Pwani ni kulingana na mazingira na jiografia yao, nyumba za makuti si umasikini bali utamaduni unatokana na mazingira husika. Pwani ni joto, hizo ni nyumba muafaka kwao..hata baa na nyumba zao za kitalii hujengwa kisasa kwa material hizohizo.

Je kulishawahi kuhitajika msaada wa chakula ktk mikoa hiyo?

Kuna kitu hamkijui kuhusu mikoa ya Pwani, wana mazao ya kudumu. Minazi, miembe, korosho, na hawazai watoto wengi hivyo hawalazimiki kuwa na vingi.
 




Hizi takwimu huwa zinashangaza sana. Takwimu za mwaka 2016 inataja mikoa yenye maskini wachache ni Dar es salaam, Pwani,Arusha,Kilimanjaro na Manyara.

Huku mikoa yenye maskini wengi ni Kagera,Mwanza,Geita,Singida na Kigoma.

Watu wengi wamekariri na wanasema watu wa Pwani ni wavivu wanashindwa kuelewa aina ya uchumi wa mikoa ya Pwani na Dar es salaam ni tofauti na mikoa mengine.Ni nadra sana kusikia mikoa hii imekumbwa na njaa au kuomba chakula cha msaada toka serikalini kwa sababu huwa haikumbwi na njaa. Kwa kweli nimetembea mikoani kuna sehemu hali si nzuri kabisa na hii inatokana na viongozi wetu wa Afrika kuwekeza nguvu mijini na kusahau vijijini.

Ifahamu mikoa mitano tajiri na mikoa mitano maskini zaidi Tanzania
 
umeambiwa ukichukua wastani wa kipato cha mtu ,kinasoma umaskini wa kutopea coz pato haliakisi idadi ya watu
 
umeambiwa ukichukua wastani wa kipato cha mtu ,kinasoma umaskini wa kutopea coz pato haliakisi idadi ya watu

Hata huo wastani pia hauakisi lolote, inawezekana kukawa na watu wawili wanapata 10000 kila mmoja halafu watu elfu moja wanapata 1 kila mmoja.
 
mimi kuna maswali yangu mawili hua hamyajibu kwanini ikiwa kenya economy ni kubwa kwanini below poverty line ni kubwa
yani masikini ni wengi sana kenya kuliko tanzania

tanzania below poverty line

Tanzania : Ranking - Population below poverty line (%)
Below you will find the last recordings for the indicator : Population below poverty line (%) : Tanzania


Data
Date Evolution
28.20 % 2011

https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=7&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwjUzfr-w6bUAhUHDcAKHds7Bx4QFghJMAY&url=https://en.actualitix.com/country/tza/tanzania-population-below-poverty-line.php&usg=AFQjCNHqfv88uU6QWaCy03IXx5wlCJVSDw

kenya below poverty line

Kenya Population below poverty line
Factbook > Countries > Kenya > Economy

Population below poverty line: 43.4% (2012 est.)





alafu swali langu la pili kenya economy ni kubwa kwanini unemployment rate ni kubwa sana Kenya about 40%
wakati Tanzania population is about 50 million while Kenya is 45 million???????????????

David Ibemere
May. 4 2017, 9:34 am
Share
Kenya, holds the dubious distinction of having the region’s highest unemployment rate, a United Nations Development Programme (UNDP) report says.

The report says 39.1 per cent of the Kenyan population of working age are unemployed compared to Tanzania’s 24 per cent, Ethiopia’s 21.6 per cent, Uganda’s 18.1 per cent and Rwanda’s 17.1 per cent.

Kenya, East Africa’s biggest economy, holds the dubious distinction of being the country with the largest number of unemployed youth in the region, a new World Bank report says.

The report, officially released Tuesday, says Kenya’s rate of unemployment — now standing at three times that of the neighbouring Uganda and Tanzania — is also among the highest in the world.

The report says that nearly one in every five Kenyan youths of working age has no job compared to Uganda and Tanzania where about one in every 20 young people is jobless, underlining the harsh economic reality that Kenyan youths are facing.


https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=5&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwj1upOrxabUAhVMKMAKHQvcC3wQFghAMAQ&url=http://thenerveafrica.com/11516/kenya-has-the-worst-level-of-unemployment-in-east-africa/&usg=AFQjCNE8yUSVpF4hvW3Mk3mxIYf0RofacA

naombeni majibu tafadhalini
 
uchumi wa kenya umeshikwa na investors na politicians ndio maana unaona kenya inaongoza kua na gap kubwa kati ya rich and poor in the world....................masikini ujue masikini kweli kenya sio mchezo hata below poverty line is 43.8%
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…