IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza Kumiminika

IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza Kumiminika

Muda sio mchache UGANDA atatuacha tz kwenye all aspects za uchumi. Kule uganda neno eti mnyonge asilipe kodi wanakaribia kulifuta. Mnyonge asilipe kodi ipo tz tuuu sasa jana usiku alikula wapi kama hana kodi ya kulipa.
Mnyonge alipe kodi kwa viwango vinavyokubalika na viwango rafiki.

Siku KAINERUGABHA atakapo thibitishwa rasmi ndie rais wa UGANDA tz tutaachwa kwa kasi ya 4G
Yani hapa Afrika mashariki sijaona taifa la kuwa mfano kwa Tanzania.
Labda unitajie nchi za Afrika Kaskazini.
Hao Uganda wana sekta nyingi za kuzirekebisha tena nyingi saaanaaà.
 
Usisingizie vita mkuu.
Vurugu ndogo za kikabila tu hizo.
Egypt kapita vita kubwa ambazo kama Ethiopia angevipitia asingesimama maisha yake yootee.

Sawa basi niambie,bajeti kubwa inayopitishwa kwenye bunge la Ethiopia inafanya nini!??
Maana hakuna mabadiliko kwa raia hata kwa nchi.
Hakuna hata mabadiliko ya huduma za kijamii.
Nielekeze mkuu HIZO PESA ZINATUMIKA WAPI YA BAJETI KUBWA HIVYO!?
Huna hoja
 
Yani hapa Afrika mashariki sijaona taifa la kuwa mfano kwa Tanzania.
Labda unitajie nchi za Afrika Kaskazini.
Hao Uganda wana sekta nyingi za kuzirekebisha tena nyingi saaanaaà.
Lakini Wana pesa za kurekebisha Kwa mapesa ya Mafuta na kurekebisha ndio kuchochea uchumi
 
Ccm ndio tatizo la nchi hii mkuu.

Miaka 60+ ya uhuru lakini bado tunachechemea.

Tanzania ni kati ya nchi 10 zenye vivutio vingi vya asili Duniani lakini inashindana kwenye idadi ya watalii na Rwanda ambayo ni ndogo kuliko mkoa wa Tabora ambayo haina chochote.

Tanzania iko kwenye top 10 gold producing countries in Africa, ajabu dhahabu ya Tanzania imekua ni kama laana. Tanzania ina Tanzanite pekee hapa ulimwenguni lakini ukifika mirerani ni kama umeingia kuzimu, njoo gesi Mtwara, Makaa ya mawe Nyanda za juu kusini, Maziwa, mito, ukanda wa bahari mkubwa sana, potentiality ya bandari, kilimo, uvuvi, utalii, almasi, nk lakini miaka yote uchumi unakua kwa 5%.

Shida ni ccm, hakuna kingine. Hizi nchi zoote zitatupita tu. Tutabaki na ndugu yetu Burundi.
 
Aya tuone kama vitabadilishika.
Isije kama ya Ethiopia bajeti kubwa bungeni hali ngumu kwa raia.
Uchumi ku jump to 10.8% ni ushahidi tosha kwamba kila kitu kitabadilika.

Uganda Wana flaiova nzuri na Kali kushinda Yz

Uganda Wana expressway toll road Entebe-Kampala 40 km Tanzania hakuna.

Mwisho: Uganda sio Nchi ya mzaha hata Sasa bila Mafuta inaongoza Ukuaji wa Uchumi Kwa 6.2%
 
Maendeleo ya uchumi huakisi maendeleo ya kijamii pia.
Je nilete hapa hali ya maendeleo ya kijamii ya Uganda?
 
Hatuwakuti kwa lolote wapi!??
Mbona wana raia wengi masikini na hawana huduma nzuri za kijamii!??
Hata Nigeria Wana raia wengi maskini.In fact tuna la kujifunza.

Hata Mwendazake alijifunza kwao ujenzi wa bwawa la Umeme.
 
Maendeleo ya uchumi huakisi maendeleo ya kijamii pia.
Je nilete hapa hali ya maendeleo ya kijamii ya Uganda?
Labda hujaelewa mada,Kwa Sasa Uganda has nothing to stretch over Tanzania ila baada ya Mafuta kuanza kutema pesa ndio mambo itakuwa bam bam.

Usiharibu essence ya mada
 
Hata Nigeria Wana raia wengi maskini.In fact tuna la kujifunza.

Hata Mwendazake alijifunza kwao ujenzi wa bwawa la Umeme.
Hilo sijakataa ndio kuna mambo ya kujifunza ila sio kuongea kauli jumuishi ya kusema tuwafanye kama kiigizo.
Nigeria ni mfu anayetembea haifai hata kwa mifano.
Nchi inayonuka ufisadi kila kona.
 
Labda hujaelewa mada,Kwa Sasa Uganda has nothing to stretch over Tanzania ila baada ya Mafuta kuanza kutema pesa ndio mambo itakuwa bam bam.

Usiharibu essence ya mada
Kama unazungumzia yajayo kwanini ukaleta mifano ya sasa ya Uganda kuwa na Fly over kubwa na Expressway 40 kms??
Kuwa specific na unachoongea.
 
Hilo sijakataa ndio kuna mambo ya kujifunza ila sio kuongea kauli jumuishi ya kusema tuwafanye kama kiigizo.
Nigeria ni mfu anayetembea haifai hata kwa mifano.
Nchi inayonuka ufisadi kila kona.
Mwendazake Kila kitu alichofanya alimuigiza Melez Zenawi wa Ethiopia,tunatakiwa kujifunza waliwezaje at one time kukuza Uchumi Kwa over 10%? Ndio jambo la msingi.

Tusipojifunza kwao,tutajifunza Kwa nani hapa Afrika ambae tunalingana amazingira ila ametuzidi GDP?
 
Kama unazungumzia yajayo kwanini ukaleta mifano ya sasa ya Uganda kuwa na Fly over kubwa na Expressway 40 kms??
Kuwa specific na unachoongea.
Si ulitaka kujua kipi wako mbele yetu? Nakuongezea hata kiwanda Cha Magari ya umeme,Agri sector Yao Iko vizuri kushinda Tanzania na hata sekta ya viwanda mfano Sukari.
 
Back
Top Bottom