Yani hapa Afrika mashariki sijaona taifa la kuwa mfano kwa Tanzania.Muda sio mchache UGANDA atatuacha tz kwenye all aspects za uchumi. Kule uganda neno eti mnyonge asilipe kodi wanakaribia kulifuta. Mnyonge asilipe kodi ipo tz tuuu sasa jana usiku alikula wapi kama hana kodi ya kulipa.
Mnyonge alipe kodi kwa viwango vinavyokubalika na viwango rafiki.
Siku KAINERUGABHA atakapo thibitishwa rasmi ndie rais wa UGANDA tz tutaachwa kwa kasi ya 4G
Huna hojaUsisingizie vita mkuu.
Vurugu ndogo za kikabila tu hizo.
Egypt kapita vita kubwa ambazo kama Ethiopia angevipitia asingesimama maisha yake yootee.
Sawa basi niambie,bajeti kubwa inayopitishwa kwenye bunge la Ethiopia inafanya nini!??
Maana hakuna mabadiliko kwa raia hata kwa nchi.
Hakuna hata mabadiliko ya huduma za kijamii.
Nielekeze mkuu HIZO PESA ZINATUMIKA WAPI YA BAJETI KUBWA HIVYO!?
Lakini Wana pesa za kurekebisha Kwa mapesa ya Mafuta na kurekebisha ndio kuchochea uchumiYani hapa Afrika mashariki sijaona taifa la kuwa mfano kwa Tanzania.
Labda unitajie nchi za Afrika Kaskazini.
Hao Uganda wana sekta nyingi za kuzirekebisha tena nyingi saaanaaΓ .
Hujafika Uganda weweYani hapa Afrika mashariki sijaona taifa la kuwa mfano kwa Tanzania.
Labda unitajie nchi za Afrika Kaskazini.
Hao Uganda wana sekta nyingi za kuzirekebisha tena nyingi saaanaaΓ .
Nishakuzoea Abdul.Huna hoja
Aya tuone kama vitabadilishika.Lakini Wana pesa za kurekebisha Kwa mapesa ya Mafuta na kurekebisha ndio kuchochea uchumi
Uchumi ku jump to 10.8% ni ushahidi tosha kwamba kila kitu kitabadilika.Aya tuone kama vitabadilishika.
Isije kama ya Ethiopia bajeti kubwa bungeni hali ngumu kwa raia.
Lina pancha ndio ila Tanzania hatuwakuti Kwa lolote licha ya hizo pancha so tujifunze kwao.Nishakuzoea Abdul.
Ethiopia ni taifa lenye pancha end of discussion.
Maendeleo ya uchumi huakisi maendeleo ya kijamii pia.Uchumi ku jump to 10.8% ni ushahidi tosha kwamba kila kitu kitabadilika.
Uganda Wana flaiova nzuri na Kali kushinda Yz
Uganda Wana expressway toll road Entebe-Kampala 40 km Tanzania hakuna.
Mwisho: Uganda sio Nchi ya mzaha hata Sasa bila Mafuta inaongoza Ukuaji wa Uchumi Kwa 6.2%
Hatuwakuti kwa lolote wapi!??Lina pancha ndio ila Tanzania hatuwakuti Kwa lolote licha ya hizo pancha so tujifunze kwao.
Hata Nigeria Wana raia wengi maskini.In fact tuna la kujifunza.Hatuwakuti kwa lolote wapi!??
Mbona wana raia wengi masikini na hawana huduma nzuri za kijamii!??
Labda hujaelewa mada,Kwa Sasa Uganda has nothing to stretch over Tanzania ila baada ya Mafuta kuanza kutema pesa ndio mambo itakuwa bam bam.Maendeleo ya uchumi huakisi maendeleo ya kijamii pia.
Je nilete hapa hali ya maendeleo ya kijamii ya Uganda?
Hilo sijakataa ndio kuna mambo ya kujifunza ila sio kuongea kauli jumuishi ya kusema tuwafanye kama kiigizo.Hata Nigeria Wana raia wengi maskini.In fact tuna la kujifunza.
Hata Mwendazake alijifunza kwao ujenzi wa bwawa la Umeme.
Kama unazungumzia yajayo kwanini ukaleta mifano ya sasa ya Uganda kuwa na Fly over kubwa na Expressway 40 kms??Labda hujaelewa mada,Kwa Sasa Uganda has nothing to stretch over Tanzania ila baada ya Mafuta kuanza kutema pesa ndio mambo itakuwa bam bam.
Usiharibu essence ya mada
Mwendazake Kila kitu alichofanya alimuigiza Melez Zenawi wa Ethiopia,tunatakiwa kujifunza waliwezaje at one time kukuza Uchumi Kwa over 10%? Ndio jambo la msingi.Hilo sijakataa ndio kuna mambo ya kujifunza ila sio kuongea kauli jumuishi ya kusema tuwafanye kama kiigizo.
Nigeria ni mfu anayetembea haifai hata kwa mifano.
Nchi inayonuka ufisadi kila kona.
Si ulitaka kujua kipi wako mbele yetu? Nakuongezea hata kiwanda Cha Magari ya umeme,Agri sector Yao Iko vizuri kushinda Tanzania na hata sekta ya viwanda mfano Sukari.Kama unazungumzia yajayo kwanini ukaleta mifano ya sasa ya Uganda kuwa na Fly over kubwa na Expressway 40 kms??
Kuwa specific na unachoongea.
Tanzania ina raia matajiri? Huduma Tanzania ni nzuri? Acha kutetea upumbavu kaa kwa kujifunza yawezekana hata kwenye mkoa wako hujawahi kutokaHatuwakuti kwa lolote wapi!??
Mbona wana raia wengi masikini na hawana huduma nzuri za kijamii!??
Watu wajinga sana wamekaa anabishana utafikiri Tanzania ni Marekani au Singapore, ndio tatizo ya mtu kukosa exposure kukaa kubishanaπππππππππππππππ