IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18

View attachment 3308270Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchumi wake.

Fedha hizi ni sehemu ya mapitio ya tano ya mpango wa mikopo ya muda mrefu (ECF) na mapitio ya pili ya mpango wa Uhimilivu na Ustahimilivu (RSF).

Makubaliano haya yamefikiwa baada ya timu ya IMF ikiongozwa na Nicolas Blancher, kufanya mazungumzo na viongozi wa Tanzania kati ya Aprili 2 hadi 17, 2025. Ujumbe wa Tanzania uliwakilishwa na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, viongozi wengine wakuu, washirika wa maendeleo, wawakilishi wa sekta binafsi na mashirika ya kiraia.

Kwa ujumla IMF imesema kuwa hali ya uchumi wa Tanzania ni nzuri, na ukuaji wa pato la taifa (GDP) ulikuwa asilimia 5.5 mwaka 2024 na unatarajiwa kufikia asilimia 6 mwaka 2025.

Mfumuko wa bei umedhibitiwa, ukiwa asilimia 3.3 mwezi Machi chini ya lengo la asilimia 5 lililowekwa na Benki Kuu. Hata hivyo, IMF imeonya kuwa kuna changamoto zinazoweza kuathiri uchumi, ikiwemo hali ya sintofahamu kimataifa, mizozo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na uchaguzi mkuu unaotarajiwa nchini ambao unaweza kuongeza matumizi au kuchelewesha utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi.
Esta Luxury Coach lazima wapate chao
 
Itapewa au itakopeshwa..?

"....Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchumi wake..."

Tunawaambia hivi, bila REFORMS za kisheria na kikatiba kufanyika ili kuwezesha chaguzi huru, za wazi na za HAKI sahauni huo mkopo kuupata...

Moja ya sharti ni kutekeleza REFORMS. Kama CCM na serikali yao yanye Rais mwizi na mtapanyaji wa mali na rasrimali asili za Tanganyika hawaamini wasubiri kuona kwa macho yao...

Petition ya wananchi tukiongozwa na CHADEMA kutaka REFORMS kabla ya yote inakaribia kufikia wananchi 10,000,000 kwa kuandika majina na namba zao za simu na kusaini kwa mikono yao wenyewe...!!
 
View attachment 3308270Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchumi wake.

Fedha hizi ni sehemu ya mapitio ya tano ya mpango wa mikopo ya muda mrefu (ECF) na mapitio ya pili ya mpango wa Uhimilivu na Ustahimilivu (RSF).

Makubaliano haya yamefikiwa baada ya timu ya IMF ikiongozwa na Nicolas Blancher, kufanya mazungumzo na viongozi wa Tanzania kati ya Aprili 2 hadi 17, 2025. Ujumbe wa Tanzania uliwakilishwa na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, viongozi wengine wakuu, washirika wa maendeleo, wawakilishi wa sekta binafsi na mashirika ya kiraia.

Kwa ujumla IMF imesema kuwa hali ya uchumi wa Tanzania ni nzuri, na ukuaji wa pato la taifa (GDP) ulikuwa asilimia 5.5 mwaka 2024 na unatarajiwa kufikia asilimia 6 mwaka 2025.

Mfumuko wa bei umedhibitiwa, ukiwa asilimia 3.3 mwezi Machi chini ya lengo la asilimia 5 lililowekwa na Benki Kuu. Hata hivyo, IMF imeonya kuwa kuna changamoto zinazoweza kuathiri uchumi, ikiwemo hali ya sintofahamu kimataifa, mizozo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na uchaguzi mkuu unaotarajiwa nchini ambao unaweza kuongeza matumizi au kuchelewesha utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi.
Iwe kabla ya October zaidi ya hapo hakuna fedha watalamba mahali popote
 
Mean while tr 1.14 walizo kusanya TRA zime pigwa afu tuna kopa kiasi kile kile😅😅 ila watu weusi
Aisee..

"The international poverty line, often used to measure extreme poverty, is set at 1.90 U.S. dollars per day. As of 2018, about 26 million Tanzanians lived below this international poverty line."

Watu wanapiga tr 1.14 haf Kuna watanzania wanaishi chini ya Tsh.5100 kwa siku this is an unfair.
 
yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchume wake.."
Lucas Mwashambwa samahani Sana mkuu naomba ufafanuzi hapo Kwa bold 👆 .

1. Naomba kujua nini maana ya kusaidiwa kiuchumi.?

2. Uchumi wetu Kwa SASA upo katika Hali gani?

3.Je NI kweli bado tupo kwenye uchumi WA kati?

NI hayo Tu.
 
View attachment 3308270Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchumi wake.

Fedha hizi ni sehemu ya mapitio ya tano ya mpango wa mikopo ya muda mrefu (ECF) na mapitio ya pili ya mpango wa Uhimilivu na Ustahimilivu (RSF).

Makubaliano haya yamefikiwa baada ya timu ya IMF ikiongozwa na Nicolas Blancher, kufanya mazungumzo na viongozi wa Tanzania kati ya Aprili 2 hadi 17, 2025. Ujumbe wa Tanzania uliwakilishwa na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, viongozi wengine wakuu, washirika wa maendeleo, wawakilishi wa sekta binafsi na mashirika ya kiraia.

Kwa ujumla IMF imesema kuwa hali ya uchumi wa Tanzania ni nzuri, na ukuaji wa pato la taifa (GDP) ulikuwa asilimia 5.5 mwaka 2024 na unatarajiwa kufikia asilimia 6 mwaka 2025.

Mfumuko wa bei umedhibitiwa, ukiwa asilimia 3.3 mwezi Machi chini ya lengo la asilimia 5 lililowekwa na Benki Kuu. Hata hivyo, IMF imeonya kuwa kuna changamoto zinazoweza kuathiri uchumi, ikiwemo hali ya sintofahamu kimataifa, mizozo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na uchaguzi mkuu unaotarajiwa nchini ambao unaweza kuongeza matumizi au kuchelewesha utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi.
Ifikie mahali serikali itutengenezee barabara ya Mbeya-Tabora au Mbeya-Itigi, maana wanakopa mahela kila kukicha yanakoenda hayajulikani
 
View attachment 3308270Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchumi wake.

Fedha hizi ni sehemu ya mapitio ya tano ya mpango wa mikopo ya muda mrefu (ECF) na mapitio ya pili ya mpango wa Uhimilivu na Ustahimilivu (RSF).

Makubaliano haya yamefikiwa baada ya timu ya IMF ikiongozwa na Nicolas Blancher, kufanya mazungumzo na viongozi wa Tanzania kati ya Aprili 2 hadi 17, 2025. Ujumbe wa Tanzania uliwakilishwa na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, viongozi wengine wakuu, washirika wa maendeleo, wawakilishi wa sekta binafsi na mashirika ya kiraia.

Kwa ujumla IMF imesema kuwa hali ya uchumi wa Tanzania ni nzuri, na ukuaji wa pato la taifa (GDP) ulikuwa asilimia 5.5 mwaka 2024 na unatarajiwa kufikia asilimia 6 mwaka 2025.

Mfumuko wa bei umedhibitiwa, ukiwa asilimia 3.3 mwezi Machi chini ya lengo la asilimia 5 lililowekwa na Benki Kuu. Hata hivyo, IMF imeonya kuwa kuna changamoto zinazoweza kuathiri uchumi, ikiwemo hali ya sintofahamu kimataifa, mizozo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na uchaguzi mkuu unaotarajiwa nchini ambao unaweza kuongeza matumizi au kuchelewesha utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi.
Sawa,ila CAG kasema kuna 1.4 trilion haijulikani imeenda wapi.

Tatizo sio kinachoingia, ni matumizi na uwajibikaji.

Naamini hata siku TRA wakikusanya 100 trillion wizi ndio utaongezeka na matumizi yasiyo na maana.
 
CCM wakakimbizie mwenge na kulipa machawa na mabango ya kumsifia Samia.
 
View attachment 3308270Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchumi wake.

Fedha hizi ni sehemu ya mapitio ya tano ya mpango wa mikopo ya muda mrefu (ECF) na mapitio ya pili ya mpango wa Uhimilivu na Ustahimilivu (RSF).

Makubaliano haya yamefikiwa baada ya timu ya IMF ikiongozwa na Nicolas Blancher, kufanya mazungumzo na viongozi wa Tanzania kati ya Aprili 2 hadi 17, 2025. Ujumbe wa Tanzania uliwakilishwa na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, viongozi wengine wakuu, washirika wa maendeleo, wawakilishi wa sekta binafsi na mashirika ya kiraia.

Kwa ujumla IMF imesema kuwa hali ya uchumi wa Tanzania ni nzuri, na ukuaji wa pato la taifa (GDP) ulikuwa asilimia 5.5 mwaka 2024 na unatarajiwa kufikia asilimia 6 mwaka 2025.

Mfumuko wa bei umedhibitiwa, ukiwa asilimia 3.3 mwezi Machi chini ya lengo la asilimia 5 lililowekwa na Benki Kuu. Hata hivyo, IMF imeonya kuwa kuna changamoto zinazoweza kuathiri uchumi, ikiwemo hali ya sintofahamu kimataifa, mizozo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na uchaguzi mkuu unaotarajiwa nchini ambao unaweza kuongeza matumizi au kuchelewesha utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi.

IMF ni mikopo inatoa mikopo kwa nchi ambazo zinashida na mara nyingi zilizotoka kwenye vita. Tafuta nchi iliyoendelea inayo chukuwa mikopo hii
 
Pesa wanachezea kununua machawa...kununua wanasiasa uchwara kukandamiza demokrasia kununua silaha za polisi kudhibiti CDM....hawajalii kabisa wananchi masikini na kuwaendelezaaaa
Andamana kamanda au kelele za kwenye mitandao tu.
 
Kamwe makubaliano hayo hayatakaa yafikiwe rasmi mpk pale madai ya NO REFORMS NO ELECTION yatakapofanyiwa kazi.

Nyambaafu!
Endelea kuota chunga usijinyee.Ama kama una hasira sana andamana kamanda.
 
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kwamba limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo, yakipitishwa, itapokea fursa ya kupata ufadhili wa takriban Tsh. Trilioni 1.18 (dola milioni 441.)

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika hilo makubaliano hayo yamefikiwa kama sehemu ya mapitio ya tano ya Mpango wa Mikopo ya Muda Mrefu (ECF) pamoja na mapitio ya pili chini ya Mpango wa Uhimilivu na Uendelevu wa Maendeleo (RSF).

======== For English Audience =====

WASHINGTON, April 17 (Reuters) - The International Monetary Fund on Thursday said it had reached staff-level agreement with Tanzanian authorities that, once approved, would give the East African nation access to some $441 million in financing.

The agreement was reached on a fifth review under its Extended Credit Facility (ECF) and a second review under its Resilience and Sustainability Facility (RSF), the IMF said.

SOURCE: REUTTERS
 
Back
Top Bottom