IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18

Kmmk hakuna vya bure
 
 
nothing come for free.....kuna mwenyekiti haonekani huko anatafutwa......mama mitano ten
 
Samia anaaminika sana ndani ya nchi na kimataifa
 
Deni himilivu , mitano tena...Tuendelee kukubaliwa mpaka tufukie trilioni 200.
 
Kwa IMF kuisifia Tanzania hivi hadi kukubali kuipa mkopo, bila shaka maafisa wake wameramba pesa ya Abduli! Ahahahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…