Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Kristalina Georgieva, amesema watatoa kiasi cha dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupitia mpango mpya maalumu utakaosaidia juhudi za ulimwengu za kupambana na janga la Covid-19.
.
IMF pia itatoa fedha za ziada kwa ajili ya uchumi wa dunia, kuongeza fedha za kigeni za nchi wanachama na kupunguza utegemezi wao katika gharama kubwa za madeni ya ndani au nje.
.
IMF pia itatoa fedha za ziada kwa ajili ya uchumi wa dunia, kuongeza fedha za kigeni za nchi wanachama na kupunguza utegemezi wao katika gharama kubwa za madeni ya ndani au nje.