Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Kristalina Georgieva, amesema mfumuko wa bei duniani unatarajiwa kushuka hadi asilimia 3.8 mwaka huu na kufikia asilimia 3.4 ifikapo mwaka 2027. Amesema hali hiyo inachangiwa na kupungua kwa mahitaji ya bidhaa pamoja na kushuka kwa bei za nishati.
Akizungumza katika Jukwaa la Kila Mwaka la Fedha la Kiarabu lililofanyika Dubai, Georgieva alibainisha kuwa ukuaji wa uchumi wa dunia umeendelea “kustahimili kwa kiwango cha kushangaza,” licha ya mabadiliko makubwa yanayoendelea katika siasa za kijiografia, sera za biashara, teknolojia na mabadiliko ya idadi ya watu.
===========
IMF chief says global inflation to fall to 3.8% this year and to 3.4% in 2027. Global inflation is expected to fall to 3.8% this year and to 3.4% in 2027, helped by softer demand and lower energy prices, the IMF chief said on Monday.
Managing Director Kristalina Georgieva said in a speech in the Annual Arab Fiscal Forum in Dubai that global growth has held up 'remarkably well' amid profound shifts in geopolitics, trade policy, technology, and demographics.
Source: Reuters