IMF Names Tanzania as 7th leading African economy

IMF Names Tanzania as 7th leading African economy

uzi nzuri...ila naona Sudan has been skipped...sudan economy is larger than that of Kenya
 
I am happy kenya has surpassed ethiopia's economy once again...
 
fastest growing economy😀😀😀😀😀hawa huwa wanaona kukua kwa 7 percent sasa wameshaipiku Kenya...huwa tunawapa hizo examples mwenzenu amewapea hapo juu...India economy inakua kwa haraka kuliko China ila hawaskii😀😀😀sasa ndizo hizo results zimetoka gap imepanuka kwa bilioni kadhaa wanabaki kuduwaa
 
Tuseme tu ukwel kama mmesoma between lines Egypt ni 3rd after S.A. so that means Tz ni ya tisa and Ghana ndio inafunga Top 10...
See Kenya na $88bln wakat Tz ni $56bln...The topic of interest now is why heading is not tallying contents ?
Lazima angola na morocco waisome number miaka miwili ijayo lazima tuwapite hadi tufike number nne tukaribie wapinzani wetu kina misri na africa kusini😀😀😀
 
nmesisoma habari naona wameiacha misri kwenye tathmin yao kwann?ila bara hili ni maskini aisee kama tz inakua ya saba huyo wa mwsho cjui ana hali gani
Hahahahah we jamaa wew, kwa hiyo Tanzania ikoje mkuu!??? Hahaha
 
The difference is Tanzania economy is inclusive while Kenya is not .. Only 10% of Kenyans own the overall economy and the rest 90% are extremely poor

Consolation statistics. Reminds me of poor people who accuse the rich of being 'devil worshipers'.
Fanya kazi mzee.
 
fastest growing economy😀😀😀😀😀hawa huwa wanaona kukua kwa 7 percent sasa wameshaipiku Kenya...huwa tunawapa hizo examples mwenzenu amewapea hapo juu...India economy inakua kwa haraka kuliko China ila hawaskii😀😀😀sasa ndizo hizo results zimetoka gap imepanuka kwa bilioni kadhaa wanabaki kuduwaa
Nionyeshe link official mzee niingie Sasa hivi, Sudan has over 100 bill dollars economy and its not there.. Gimme the link ASAP.. Staki cheap news
 
hio habari sijaielwa nilichoona huyo mwandishi kajichanganya tu tafuteni official source mueke humu tuchangie
 
hio habari sijaielwa nilichoona huyo mwandishi kajichanganya tu tafuteni official source mueke humu tuchangie
Hamna kitu humo[emoji23] report ya IMF Ikishatoka tu utajua na Data zinakua wazi.. Huyo mwandishi amechukua data za Makadirio.. Tusubiri ripoti waache kutuchosha..
 
uzi nzuri...ila naona Sudan has been skipped...sudan economy is larger than that of Kenya
Sudan wali devalue pound yao sijui ni this ama last year .......kwa sasa hawako top ten.
 
Back
Top Bottom