Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Nimeipitia hii reporti nikaona haya:
1) IMF ina kiri kwamba shillingi ya tanzania ipo "stable" - Hii ni tofauti na wapotishaji walio sema inayumba yumba
2) IMF ina sema haina uhakika na data za uchumi -Hili limenishangaza sana baada ya WB kupea zawadi Tz Bereau of statistics (TBS) kwa kuwa number moja afrika kwa weledi wa takwimu..Hata wao IMF mwaka jana december walipea TBS alama za juu na kwa sasa miezi 3 iliyo pita tena wana waponda.
3) IMF imethibitisha kwamba Tz ina kuwa kwa kiwango cha 7% GDP. Lakini wana shuku kwamba mtindo huu utashuka hadi 4% kama sheria zilizopitishwa za kulinda mali ghafi na migodi ya makinikia haita futiliwa mbali.
Linalo shangaza ni kwamba Sheria za madini zilipitishwa 2017 na wamekuwa na msimamo bora hadi miezi mitatu iliyo pita. Nini kafanyika ndani ya miezi mitatu? Ama barrick gold wameshidwa kabisa na mabwana wao wako mbele kulazimisha serikali ifute sheria mpya za madini?