IMF report iliyozuiliwa na waBongo ipo hapa. Tunangojea Kenya watoe yao rasmi waache kuzuilia

IMF report iliyozuiliwa na waBongo ipo hapa. Tunangojea Kenya watoe yao rasmi waache kuzuilia

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Nimeipitia hii reporti nikaona haya:

1) IMF ina kiri kwamba shillingi ya tanzania ipo "stable" - Hii ni tofauti na wapotishaji walio sema inayumba yumba
2) IMF ina sema haina uhakika na data za uchumi -Hili limenishangaza sana baada ya WB kupea zawadi Tz Bereau of statistics (TBS) kwa kuwa number moja afrika kwa weledi wa takwimu..Hata wao IMF mwaka jana december walipea TBS alama za juu na kwa sasa miezi 3 iliyo pita tena wana waponda.

3) IMF imethibitisha kwamba Tz ina kuwa kwa kiwango cha 7% GDP. Lakini wana shuku kwamba mtindo huu utashuka hadi 4% kama sheria zilizopitishwa za kulinda mali ghafi na migodi ya makinikia haita futiliwa mbali.

Linalo shangaza ni kwamba Sheria za madini zilipitishwa 2017 na wamekuwa na msimamo bora hadi miezi mitatu iliyo pita. Nini kafanyika ndani ya miezi mitatu? Ama barrick gold wameshidwa kabisa na mabwana wao wako mbele kulazimisha serikali ifute sheria mpya za madini?
 
Attachments

Unadhani sisi pia tunazuilia IMF report? Hio ni kazi ya Ldc. Middle income hatuna time ya kuzuia report.

Aha ha ha ha
Mido inkamu kantre

1556024360157.png
 
Acacia wameshindwa rufaa ya Makinikia juzi ndio maana.

Kuna wakati huyu manager mpya wa Barrick kutoka Rangold alisema anataka kuunda union ya mining companies ndio wapiganie maslahi ya mining companies.

Mimi huwa namuona kama huyu manager mpya si mzuri kama Thornton. Anaweza kukataa makubaliono ya awali.

Kwani wanataka maandamano?

Mwache ajaribu bahati yake, lakini sijui kama ataweza JPM akiwa bado madarakani.
 
Back
Top Bottom