CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #21
IMF wanakampuni gani yenye masilahi na Rasilimali zetu?IMF ikikusifia ujue wamenufaika na rasilimali za Nchi husika inayosifiwa.
😂😂Acheni kumsingizia Mzee wa watuAliyelamba ni Mbowe.
Ni kujiliwaza tu, hakuna lolote. Huwezi kuwa salama kwa kujilinganisha na taifa lingine. Unakuwa salama kwa kuangalia mikakati effective uliyonayo ya kumihili deni. Hizo asilimia "zinapanda (mfano kwamba awali zilikuwa 46% na sasa ni 47% au zinashuka mfano kwamba zilikuwa 48% na sasa ni 47%)? Kama hazishuki, lakini zinapanda, na sisi zitafika tu huko Kwa 70% au 71%. Kwa sasa tunaweza kuwacheka Kenya na Rwanda, lakini tujue kwamba na wao wakati fulani deni lao lilisomeka kupanda kwa 47%.Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi.
Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.
Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.
Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.
View attachment 3179365
Harafu unakutana na wale mbumbumbu na haters wakikwambia Rwanda imeendelea sana kumbe inanuka madeni Hadi makwapani 🤣🤣Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote.
Sasa, Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.
Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.
Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha hasa wakati huu kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.
View attachment 3179365
Mbaya,wenzako wanakopa kuleta maendeleo wewe unazinguaWanauchumi, hiyo ni habari nzuri au mbaya?
TZ tuko vizuri sanaHarafu unakutana na wale mbumbumbu na haters wakikwambia Rwanda imeendelea sana kumbe inanuka madeni Hadi makwapani 🤣🤣
safi sana ccm MAMA mitano tenaSijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote.
Sasa, Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.
Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.
Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha hasa wakati huu kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.
View attachment 3179365
Ni ascending order mkuu kutoka chini kwenda juuNi kujiliwaza tu, hukuna lolote. Hizo asilimia "zinapanda (mfano kwamba awali zilikuwa 46% na sasa ni 47% au zinashuka mfano kwamba zilikuwa 48% na sasa ni 47%)? Kama hazishuka kutoka juu kwenda chini, lakini zinapanda kutoka chini kwenda juu, na sisi zitafika tu huko. Kwa sasa tunaweza kuwacheka Kenya na Rwanda, lakini tujue kwamba na wao wakati fulani deni lao lilisomeka kupanda kwa 47%.
Hawahitaji kusema wewe nenda kwenye Bajeti Kila mwaka inaonesha Fedha ambazo itakopa na ambazo italipa madeni.Waseme na Kila mwezi au mwaka wanalipa shilingi trilioni ngapi
Sio kutupa takwimu ili kutuaminisha kwamba tunaweza kukopesheka zaidi
Ilipaswa Hilo deni la taifa tulipe Hadi kufikia trilioni kumi ndio tuanze kukopa tena
Mikakati effective utaijuaje bila kujilinganisha?Ni kujiliwaza tu, hukuna lolote. Huwezi kuwa salama Kwa kujilinganisha na taifa lingine. Unakuwa salama Kwa kuangalia mikakati effective uliyonayo ya kumihili deni. Hizo asilimia "zinapanda (mfano kwamba awali zilikuwa 46% na sasa ni 47% au zinashuka mfano kwamba zilikuwa 48% na sasa ni 47%)? Kama hazishuka kutoka juu kwenda chini, lakini zinapanda kutoka chini kwenda juu, na sisi zitafika tu huko. Kwa sasa tunaweza kuwacheka Kenya na Rwanda, lakini tujue kwamba na wao wakati fulani deni lao lilisomeka kupanda kwa 47%.
Kivipi? Wao ni wakopeshaji na anaekopesha hawezi mpa mtu hela kama haziwezi Rudi,Hilo la sijui Rasilimali linatoka wapi kama sio ujinga wako tuu?IMF ikikusifia ujue wamenufaika na rasilimali za Nchi husika inayosifiwa.
Then, si linapanda kama ambavyo Kenya na Rwanda nao wakati fulani deni lao lilikuwa 47%. Ni kama samaki wanaotayarishwa ili wapikwe (kwa vile hawajawekwa kwenye moto) kuwacheka wenzao wanaopikwa (ambao tayari wako kwenye moto).Ni ascending order mkuu kutoka chini kwenda juu
Tanzania imeanza kulipa deni zaidi ya inavyokopa sa haitakuja kufika huko labda Ukomo uwe 50%.Then, si linapanda kama ambavyo Kenya na Rwanda nao wakati fulani deni lao lilikuwa 47%. Ni kama samaki wanaotayarishwa ili wapikwe (kwa vile hawajawekwa kwenye moto) kuwacheka wenzao wanaopikwa (ambao tayari wako kwenye moto).
IMF inaendeshwa na mataifatajiri ikiwemo marekani.IMF inapokupongeza ujue marekani amenufaika na Nchi iliyopongezwa.Au hujui kuwa bideni alipokuja Luanda(Angola)waliingia mikata tata kati Tz na bideni?wewe chawa jaribu kufuatilia utajua mengiKivipi? Wao ni wakopeshaji na anaekopesha hawezi mpa mtu hela kama haziwezi Rudi,Hilo la sijui Rasilimali linatoka wapi kama sio ujinga wako tuu?
Ukiacha propaganda, hali halisi kwa wananchi wa kawaida ni tete..Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.
IMF unafahamu pamoja na kuwa iko chini ya Marekani lakini ni taasisi Huru,IMF inaendeshwa na mataifatajiri ikiwemo marekani.IMF inapokupongeza ujue marekani amenufaika na Nchi iliyopongezwa.Au hujui kuwa bideni alipokuja Luanda(Angola)waliingia mikata tata kati Tz na bideni?wewe chawa jaribu kufuatilia utajua mengi
Hao wananchi wa kawaida ndio akina nani?Ukiacha propaganda, hali halisi kwa wananchi wa kawaida ni tete..
Mabadiliko NHIF kama huna uwezo utakufa, hakuna nafuu yoyote zaidi ya kutafuta pesa kwa nguvu kutoka kwa wananchi
NHIF wamefuta Najali ambayo mtu mmoja alikua analipa 192,000/=, Wekeza 384,000 na Timiza 516,000/= Wametambulisha vifurushi vipya ambavyo ni Serengeti Afya 660,000 na Ngorongoro Afya 240,000 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Wamebadili kifurushi cha watoto ambacho awali kwa mtoto ambaye bado hajaanza...www.jamiiforums.com