IMF waipongeza Tanzania kwa Uchumi wake kuhimili deni kwa 47% wakati Kenya wao ni 70 Rwanda ni 71

Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi.

Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.

Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.

Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.

View attachment 3179365
Ni kujiliwaza tu, hakuna lolote. Huwezi kuwa salama kwa kujilinganisha na taifa lingine. Unakuwa salama kwa kuangalia mikakati effective uliyonayo ya kumihili deni. Hizo asilimia "zinapanda (mfano kwamba awali zilikuwa 46% na sasa ni 47% au zinashuka mfano kwamba zilikuwa 48% na sasa ni 47%)? Kama hazishuki, lakini zinapanda, na sisi zitafika tu huko Kwa 70% au 71%. Kwa sasa tunaweza kuwacheka Kenya na Rwanda, lakini tujue kwamba na wao wakati fulani deni lao lilisomeka kupanda kwa 47%.
 
Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote.

Sasa, Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.

Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.

Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha hasa wakati huu kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.

View attachment 3179365
Harafu unakutana na wale mbumbumbu na haters wakikwambia Rwanda imeendelea sana kumbe inanuka madeni Hadi makwapani 🤣🤣
 
Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote.

Sasa, Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.

Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.

Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha hasa wakati huu kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.

View attachment 3179365
safi sana ccm MAMA mitano tena
 
Ni kujiliwaza tu, hukuna lolote. Hizo asilimia "zinapanda (mfano kwamba awali zilikuwa 46% na sasa ni 47% au zinashuka mfano kwamba zilikuwa 48% na sasa ni 47%)? Kama hazishuka kutoka juu kwenda chini, lakini zinapanda kutoka chini kwenda juu, na sisi zitafika tu huko. Kwa sasa tunaweza kuwacheka Kenya na Rwanda, lakini tujue kwamba na wao wakati fulani deni lao lilisomeka kupanda kwa 47%.
Ni ascending order mkuu kutoka chini kwenda juu
 
Waseme na Kila mwezi au mwaka wanalipa shilingi trilioni ngapi
Sio kutupa takwimu ili kutuaminisha kwamba tunaweza kukopesheka zaidi

Ilipaswa Hilo deni la taifa tulipe Hadi kufikia trilioni kumi ndio tuanze kukopa tena
Hawahitaji kusema wewe nenda kwenye Bajeti Kila mwaka inaonesha Fedha ambazo itakopa na ambazo italipa madeni.
 
Ni kujiliwaza tu, hukuna lolote. Huwezi kuwa salama Kwa kujilinganisha na taifa lingine. Unakuwa salama Kwa kuangalia mikakati effective uliyonayo ya kumihili deni. Hizo asilimia "zinapanda (mfano kwamba awali zilikuwa 46% na sasa ni 47% au zinashuka mfano kwamba zilikuwa 48% na sasa ni 47%)? Kama hazishuka kutoka juu kwenda chini, lakini zinapanda kutoka chini kwenda juu, na sisi zitafika tu huko. Kwa sasa tunaweza kuwacheka Kenya na Rwanda, lakini tujue kwamba na wao wakati fulani deni lao lilisomeka kupanda kwa 47%.
Mikakati effective utaijuaje bila kujilinganisha?

Mesi anakuaje Bora bila kushindanishwa na wengine ambao ni Bora?

Wacha ujinga
 
IMF ikikusifia ujue wamenufaika na rasilimali za Nchi husika inayosifiwa.
Kivipi? Wao ni wakopeshaji na anaekopesha hawezi mpa mtu hela kama haziwezi Rudi,Hilo la sijui Rasilimali linatoka wapi kama sio ujinga wako tuu?
 
Ni ascending order mkuu kutoka chini kwenda juu
Then, si linapanda kama ambavyo Kenya na Rwanda nao wakati fulani deni lao lilikuwa 47%. Ni kama samaki wanaotayarishwa ili wapikwe (kwa vile hawajawekwa kwenye moto) kuwacheka wenzao wanaopikwa (ambao tayari wako kwenye moto).
 
Tanzania imeanza kulipa deni zaidi ya inavyokopa sa haitakuja kufika huko labda Ukomo uwe 50%.

Napendekeza Serikali iwe inakopa Hadi 50% ya GDP na sio zaidi ya hapo
 
Kivipi? Wao ni wakopeshaji na anaekopesha hawezi mpa mtu hela kama haziwezi Rudi,Hilo la sijui Rasilimali linatoka wapi kama sio ujinga wako tuu?
IMF inaendeshwa na mataifatajiri ikiwemo marekani.IMF inapokupongeza ujue marekani amenufaika na Nchi iliyopongezwa.Au hujui kuwa bideni alipokuja Luanda(Angola)waliingia mikata tata kati Tz na bideni?wewe chawa jaribu kufuatilia utajua mengi
 
Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.
Ukiacha propaganda, hali halisi kwa wananchi wa kawaida ni tete..
 
IMF inaendeshwa na mataifatajiri ikiwemo marekani.IMF inapokupongeza ujue marekani amenufaika na Nchi iliyopongezwa.Au hujui kuwa bideni alipokuja Luanda(Angola)waliingia mikata tata kati Tz na bideni?wewe chawa jaribu kufuatilia utajua mengi
IMF unafahamu pamoja na kuwa iko chini ya Marekani lakini ni taasisi Huru,

Tjipongeze kwa hatua hii yetu nzuri ya Kiuchumi
 
Ukiacha propaganda, hali halisi kwa wananchi wa kawaida ni tete..
Hao wananchi wa kawaida ndio akina nani?
 
Back
Top Bottom